検索ワード: joko ya hao e bobebe (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

joko ya hao e bobebe

英語

最終更新: 2020-08-12
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kati ya hao, watu 15 walifariki.

英語

15 of them had lost their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.

英語

against such we have given you clear warrant.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siyo katika jahannamu makaazi ya hao makafiri?

英語

is not hell a dwelling for the disbelievers?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je! siyo katika jahannamu makaazi ya hao makafiri?

英語

is not hell an abode for those who deny the truth?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na tumekujaalieni humo vitu vya maisha yenu, na ya hao ambao nyinyi sio wenye kuwaruzuku.

英語

and created livelihoods for you in it, and created those for whom you do not provide the sustenance.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kulitokea ubishi kati ya hao mitume kuhusu nani miongoni mwao anayefikiriwa kuwa mkuu zaidi kuliko wengine.

英語

and there was also a strife among them, which of them should be accounted the greatest.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kisha nikasikia idadi ya hao waliopigwa mhuri: watu mia moja arobaini na nne elfu wa makabila yote ya watu wa israeli.

英語

and i heard the number of them which were sealed: and there were sealed an hundred and forty and four thousand of all the tribes of the children of israel.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kisha yesu akauliza, "kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonyesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?"

英語

which now of these three, thinkest thou, was neighbour unto him that fell among the thieves?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

zaidi ya nusu ya wanawake walikuwa waathirika wa ngono za nguvu, na kati ya hao, nusu waliripotiwa kutoa ngono kama namna ya kupata upendeleo wa namna fulani.

英語

more than half of the women were victims of sexual violence, and of those women, half of them reported providing sex for some form of favors.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akasema: hakika yeye anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati baina ya hao.

英語

"neither old nor young, says god, but of age in between," answered moses.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.

英語

if they withdraw not from you, and offer you peace, and restrain their hands, take them, and slay them wherever you come on them; against them we have given you a clear authority.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akasema: hakika yeye anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati baina ya hao. basi fanyeni mnavyo amrishwa.

英語

(moses) answered: lo! he saith, verily she is a cow neither with calf nor immature; (she is) between the two conditions; so do that which ye are commanded.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: wa kwanza ni simoni aitwae petro, na andrea ndugu yake; yakobo mwana wa zebedayo, na yohane ndugu yake;

英語

now the names of the twelve apostles are these; the first, simon, who is called peter, and andrew his brother; james the son of zebedee, and john his brother;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. na tumekuteremshia kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa waislamu.

英語

(o muhammad), warn them of the coming of a day when we shall bring forth a witness against them from each community and we shall bring you forth as a witness against them all; (and it is for that purpose that) we sent down the book to you which makes everything clear, and serves as a guidance and mercy and glad tidings to those who have submitted to allah.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,744,108,051 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK