検索ワード: nilichokuwa nasomea ni manunuzi na usambazaji (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

nilichokuwa nasomea ni manunuzi na usambazaji

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

bandarini na usambazaji

英語

port cargo reception and distribution

最終更新: 2024-04-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

usimamizi wa manunuzi na vifaa

英語

pactum serva

最終更新: 2019-04-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nini maana ya manunuzi na ugavi

英語

nini maana ya procurement and supply

最終更新: 2022-07-14
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

athari ya usimamizi wa manunuzi na vifaa

英語

procurement and logistics management effect

最終更新: 2023-06-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwingiliano wa mbebaji virusi ukihusishwa na usambazaji

英語

virus-host interaction in relation to transmission

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

umataifishaji na ugonjwa – muhtasari wa umataifishaji na usambazaji wa ugonjwa

英語

globalization and disease – overview of globalization and disease transmission

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni wazi kwamba popo hutoa mkusanyiko mkuu wa aina ya virusi kwa ajili ya mabadilishano baina ya wanyama ya visehemu za kijenetiki na usambazaji baina ya wanyama.

英語

it is obvious that bats provide a rich pool of virus species for interspecies exchange of genetic fragments and interspecies transmission.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

shukrani kwa nyezo mpya, kauli hazihitaji kudhibitiwa na wale wanaomiliki njia za uchapishaji na usambazaji, au na serikali ambazo zinaweza kudhibiti fikra na mawasiliano.

英語

thanks to new tools, speech need no longer be controlled by those who own the means of publishing and distribution, or by governments that would restrict thought and communication.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

connectas ni mradi usio wa kibiashara wenye mwelekeo wa kiuandishi wa habari wenye lengo la kuhamasisha uzalishaji, ushirikishwaji, mafunzo na usambazaji wa taarifa zinazohusiana na mada ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya bara hilo":

英語

connectas is a "non-profit journalistic initiative with the aim of promoting production, sharing, training and disseminating information related to topics that are fundamental for development in the americas":

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

wakati mimi nilifika kwenye bodi ya kilimo kama waziri wa kilimo mnamo julai 2011, serikali ilikuwa inatumia kiasi kikubwa cha fedha kwenye manunuzi ya moja kwa moja na usambazaji wa mbolea ya ruzuku, lakini chini ya 11% ya wakulima waliipata hiyo mbolea.

英語

when i came on board as minister of agriculture in july of 2011, i found a corrupt and totally inefficient fertilizer sector. the government was spending huge amounts of money on direct procurement and distribution of subsidized fertilizer, but less than 11% of farmers got the fertilizers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kazi za kuwemo hatarini kwa kiwango cha wastani ni pamoja na zile zinazohitaji kutangamana mara kwa mara au karibu na watu ambao hawajulikani au kushukiwa kuwa na covid-19, lakini huwezekana wameambukizwa kutokana na usambazaji unaoendelea wa jamii au usafiri wa kimataifa.

英語

medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact with people who are not known or suspected with covid-19, but may be infected due to ongoing community transmission or international travel.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

idadi kubwa ya bata yenye virusi na spishi za ndege, na aina yao duniani, imewezesha mageuzi na usambazaji mkubwa wa virusi vya korona. virusi vingi vya korona vya wanadamu vimetoka kwa popo.

英語

the large number of host bat and avian species, and their global range, has enabled extensive evolution and dissemination of coronaviruses.many human coronavirus have their origin in bats.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtu anaweza kuuliza, ingawa ni swali lisilohitaji jibu, kama ununuzi na usambazaji wa simu za mkono za gsm kwa mamia ya wakulima walioenea katika urefu na upana wa nchi hiyo kubwa, ni muhimu zaidi kuliko changamoto ya masuala yanayoikumba sekta ya kilimo ya nigeria wakati huu?

英語

one must then poignantly ask, though it be a rhetorical question, if the purchase and distribution of gsm phones to hundreds of farmers spread across the length and breadth of a country so large as nigeria is the most critical and challenging of issues bedevilling the nigerian agricultural sector at the moment?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wiki moja mara baada ya kutokea kwa kimbunga kikubwa katika majimbo ya leyte na samar, katika visiwa vya visayas, tutakuwa tunawasiliana na waandishi wetu wa habari walioko ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na usambazaji wa misaada kuhusiana na namna ufilipino inavyokabiliana na janga hili, maendeleo ya harakati za uokoaji na jinsi jamii ya kimataifa inavyoweza kutoa msaada.

英語

a week after the super typhoon hit the provinces of leyte and samar, in the visayas islands, we'll be talking to our philippine authors and an aid worker about how the country is coping with the disaster, the progress in rescue operations, and what we - the concerned international community - can do to help.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mujibu wa osha, kazi za kuwa hatarini kwa kiwango cha wastani inajumuisha zile ambazo zinahitaji kutangamana na watu mara kwa mara au kuwa karibu na watu kati ya futi sita (mita 1.8) ambao hawajulikani au kushukiwa wagonjwa wa covid-19, lakini huenda wameambukizwa na sars-cov-2 kutokana na usambazaji unaoendelea wa kijamii karibu na eneo la biashara, au kwa sababu mtu huyo amesafiri kimataifa hivi karibuni hadi eneo iliyo na usambazaji mkubwa wa covid-19.

英語

according to osha, medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact within six feet (1.8 m) of people who are not known or suspected covid-19 patients, but may be infected with sars-cov-2 due to ongoing community transmission around the business location, or because the individual has recent international travel to a location with widespread covid-19 transmission.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,763,074,080 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK