検索ワード: sugu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

sugu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

je, una matatizo yoyote ya magonjwa sugu kama vile kisukari?

英語

do you have any other diseases chronic medical problems like diabetes?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali ya kuwa sugu wa kurejea itategemea chanjo kupatikana na kiwango cha mabadiliko ya virusi.

英語

the virulence of the comeback would depend on herd immunity and the extent of mutation.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je, una ugonjwa mwingine sugu kama vile shinikizo la damu au chochote sawa na hicho?

英語

do you have any other chronic like high blood pressure or anything like that?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali zilizoripotiwa zaidi zilikuwa kisukari, ugonjwa sugu wa mapafu na ugonjwa wa matatizo ya moyo.

英語

the most commonly reported conditions were diabetes mellitus, chronic lung disease, and cardiovascular disease.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haiwezi kuchukuliwa kuwa wale ambao maelezo yao hayapo ni sawa na wale walio na data kuhusu kulazwa hospitalini au hali sugu za afya.

英語

it cannot be assumed that those with missing information are similar to those with data on either hospitalizations or underlying health conditions.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chembe zinazotolewa puani kutoka kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 5 zinaoonyesha dalili za ugonjwa sugu wa mikamba ya kupumua.

英語

nasopharyngeal swabs are taken from children younger than 5 years showing symptoms of acute bronchitis or bronchiolitis.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bado haijulikani iwapo uzito au kiwango cha udhibiti wa hali sugu za afya huathiri hatari ya ugonjwa mbaya unaohusiana na covid-19.

英語

it is not yet known whether the severity or level of control of underlying health conditions affects the risk for severe disease associated with covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii ni muhimu hasa kwa wale walio karibu na watu walio na hali sugu au vinginevyo walio katika hatari kubwa ya matokeo mabaya kutokana na covid-19.

英語

this is especially important for those who work with persons with underlying conditions or who otherwise are at high risk for severe outcomes from covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hesabu ya asilimia ya wagonjwa wa umri zote waliokuwa na hali sugu za afya ambao hawakulazwa hospitalini, waliolazwa hospitalini bila kuwekwa katika chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu na waliolazwa hospitalini kwenye chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu ilipigwa.

英語

the percentages of patients of all ages with underlying health conditions who were not hospitalized, hospitalized without icu admission, and hospitalized with icu admission were calculated.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ninaandika kukujulisha kuhusu kujiuzulu kwangu kutoka [jina la nafasi] katika [jina la kampuni], kuanzia [tarehe ya kujiuzulu]. nimekuwa nikifanya kazi na mwenzangu kuwasaidia kupambana na ugonjwa sugu kwa muda sasa. hivi karibuni, ugonjwa wao umeanza kuwa mbaya na sitaweza tena kusawazisha majukumu yangu yote ya taaluma na majukumu yangu kama mshirika. kwa hivyo ninajiuzulu kuchukua majukumu ya utunzaji wa wakati wote. ninashukuru sana kwa msaada mkubwa sana

英語

i am writing to inform you of my resignation from [position name] at [company name], effective [resignation date]. i have been working with my partner to help them battle a chronic illness for some time now. recently, their illness has begun to worsen and i will no longer be able to balance both my professional responsibilities and my duties as a partner. i am therefore resigning to take up full time caregiver responsibilities. i’m especially thankful for the tremendous amount of support yo

最終更新: 2021-10-11
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,764,870,426 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK