検索ワード: uislam (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

uislam

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

maana ya jina jamila kwenye uislam

英語

the meaning of the name jamila in islam

最終更新: 2023-08-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

serikali ya bangladeshi yawafuatilia wanablogu, yawatuhumu kuukashfu uislam.

英語

bangladesh authorities go after bloggers, claim they are 'anti-muslim' · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uislam hauna hatia kwa watu wanaouawa huko misri, lebanon na syria.

英語

islam is innocent of the blood being spilled today in egypt, lebanon and syria

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wa pakistan kutoka katika makundi makuu ya dini pamoja na makabila yaliungana kupinga ugaidi katika jina la uislam

英語

pakistanis from all sects and tribes joined hands to condemn terrorism in the name of islam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yaani ni kama vile, kumwaga damu ya mkristo ni halali (yaani inaruhusiwa katika uislam).

英語

it is as if spilling the blood of a christian is halal (acceptable in islam].

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

walisema pia kuwa hawakuwa na sababu ya kuwa na watoto waliosaliti familia zao, ndugu zao, wapendwa wao, uislam pamoja na watu wao.

英語

they also said they had no need of sons who betrayed their family, their relatives, their loved ones, islam, and their people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

serikali ya bangladeshi iliunda tume ya watu wanne mnamo tarehe 13 machi 2013 ili kuwafuatilia wanablogu na watumiaji wa facebook waliotoa kauli za kuukashfu uislam pamoja na nabii mohammad.

英語

the bangladesh government formed a nine-member committee on march 13, 2013 to track bloggers and facebook users who made derogatory remarks about islam and the prophet muhammad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadae, kikundi cha wanazuoni wa kiislamu walijibu kwa hasira madai hayo ya wanamgambo wa al-shabaab kwamba matendo yao yalifanywa kwa kutumia jina la uislam.

英語

soon after, a group of muslim scholars reacted angrily to the claims by supposed members of al-shabab that their actions were committed in the name of islam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kinachoshangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu ambao miongoni mwao ndio wanaolaani kitendo hiki na kwa upande mwingine watu hawa wanaamini kuwa kumwaga damu ya muislam ni haramu (yaani hairuhusiwi katika uislam).

英語

what is surprising is that there are some among those who are condemning the act who say that spilling the blood of a muslim is haram .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamo machi 20, 2013, mohiuddin na wanablogu wengine saba walifunguliwa mashtaka na mtu mmoja huko katika wilaya ya natore, kaskazini mwa bangladesh kwa makosa ya kutoa taarifa za uongo kuhusu uislam, mungu na nabii mohammad.

英語

on march 20, 2013, mohiuddin and seven other bloggers were sued by an individual in the northern bangladeshi district of natore on charges of libeling islam, god, and the prophet muhammad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

majina ya wanablogu hawa pamoja na wengine walio katika hatari hii yalionekana kwenye listi ya watu 84 iliyowasilishwa kwenye kamati maalum ya serikali na kikundi cha viongozi wa kiislam kilichowatuhumu wanablogu hawa kwa kujihusisha na "upagani" pamoja na kuandika mambo yanayopingana na uislam.

英語

the names of these bloggers and others under threat appeared on a list of 84 people submitted to a special government committee by a group of conservative muslim clerics who accused the bloggers of “atheism” and writing against islam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,142,931 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK