検索ワード: unusquisque (ラテン語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Latin

Swahili

情報

Latin

unusquisque

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

ラテン語

スワヒリ語

情報

ラテン語

unusquisque enim onus suum portabi

スワヒリ語

maana kila mmoja anao mzigo wake mwenyewe wa kubeba.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

et reversi sunt unusquisque in domum sua

スワヒリ語

basi, wote wakaondoka, kila mtu akaenda zake;

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

itaque unusquisque nostrum pro se rationem reddet de

スワヒリ語

kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja yake mbele ya mungu.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

unusquisque vero temptatur a concupiscentia sua abstractus et inlectu

スワヒリ語

lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

unusquisque in quo vocatus est fratres in hoc maneat apud deu

スワヒリ語

ndugu zangu, kila mmoja wenu basi, na abaki na mungu kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

et quomodo nos audivimus unusquisque lingua nostra in qua nati sumu

スワヒリ語

imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe?

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

propter fornicationes autem unusquisque suam uxorem habeat et unaquaeque suum virum habea

スワヒリ語

lakini kwa sababu ya hatari ya uzinzi, basi, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

respondit ei philippus ducentorum denariorum panes non sufficiunt eis ut unusquisque modicum quid accipia

スワヒリ語

filipo akamjibu, "mikate ya denari mia mbili za fedha haiwatoshi watu hawa hata kama ila mmoja atapata kipande kidogo tu!"

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

ラテン語

nam alius iudicat diem plus inter diem alius iudicat omnem diem unusquisque in suo sensu abunde

スワヒリ語

mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

per unam sabbati unusquisque vestrum apud se ponat recondens quod ei beneplacuerit ut non cum venero tunc collectae fian

スワヒリ語

kila jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

facta autem hac voce convenit multitudo et mente confusa est quoniam audiebat unusquisque lingua sua illos loquente

スワヒリ語

waliposikia sauti hiyo, kundi kubwa la watu lilikusanyika. wote walishtuka sana kwani kila mmoja wao aliwasikia hao waumini wakisema kwa lugha yake mwenyewe.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

hoc autem dico quod unusquisque vestrum dicit ego quidem sum pauli ego autem apollo ego vero cephae ego autem christ

スワヒリ語

nataka kusema hivi: kila mmoja anasema chake: mmoja husema, "mimi ni wa paulo," mwingine: "mimi ni wa apolo," mwingine: "mimi ni wa kefa," na mwingine: "mimi ni wa kristo,".

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

ラテン語

ecce venit hora et iam venit ut dispergamini unusquisque in propria et me solum relinquatis et non sum solus quia pater mecum es

スワヒリ語

wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo ninyi nyote mtatawanyika kila mtu kwake, nami nitaachwa peke yangu. kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana baba yu pamoja nami.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

et non docebit unusquisque proximum suum et unusquisque fratrem suum dicens cognosce dominum quoniam omnes scient me a minore usque ad maiorem eoru

スワヒリ語

hakuna mtu atakayemfundisha mwananchi mwenzake, wala atakayemwambia ndugu yake: mjue bwana. maana watu wote, wadogo na wakubwa, watanijua mimi.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

ラテン語

petrus vero ad illos paenitentiam inquit agite et baptizetur unusquisque vestrum in nomine iesu christi in remissionem peccatorum vestrorum et accipietis donum sancti spiritu

スワヒリ語

petro akajibu, "tubuni na kila mmoja wenu abatizwe kwa jina la yesu kristo ili mpate kuondolewa dhambi zenu na kupokea ile zawadi ya roho mtakatifu.

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,055,158 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK