検索ワード: antioch (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

antioch

スワヒリ語

antiokia

最終更新: 2014-02-12
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and in these days came prophets from jerusalem unto antioch.

スワヒリ語

wakati huohuo, manabii kadhaa walikuja antiokia kutoka yerusalemu.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

but when peter was come to antioch, i withstood him to the face, because he was to be blamed.

スワヒリ語

lakini kefa alipofika antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and thence sailed to antioch, from whence they had been recommended to the grace of god for the work which they fulfilled.

スワヒリ語

kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

but when they departed from perga, they came to antioch in pisidia, and went into the synagogue on the sabbath day, and sat down.

スワヒリ語

lakini wao waliendelea na safari toka pisga hadi mjini antiokia pisidia. siku ya sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and when they had preached the gospel to that city, and had taught many, they returned again to lystra, and to iconium, and antioch,

スワヒリ語

baada ya paulo na barnabas kuhubiri habari njema huko derbe na kupata wafuasi wengi, walifunga safari kwenda antiokia kwa kupitia lustra na ikonio.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and some of them were men of cyprus and cyrene, which, when they were come to antioch, spake unto the grecians, preaching the lord jesus.

スワヒリ語

lakini baadhi ya waumini waliotoka kupro na kurene, walikwenda antiokia wakautangaza huo ujumbe kwa watu wa mataifa mengine wakiwahubiria ile habari njema juu ya bwana yesu.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and they wrote letters by them after this manner; the apostles and elders and brethren send greeting unto the brethren which are of the gentiles in antioch and syria and cilicia:

スワヒリ語

wakawapa barua hii: "sisi mitume na wazee, ndugu zenu, tunawasalimuni ninyi ndugu wa mataifa mengine mlioko huko antiokia, siria na kilikia.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

and there came thither certain jews from antioch and iconium, who persuaded the people, and, having stoned paul, drew him out of the city, supposing he had been dead.

スワヒリ語

lakini wayahudi kadhaa walikuja kutoka antiokia na ikonio, wakawafanya watu wajiunge nao, wakampiga mawe paulo na kumburuta hadi nje ya mji wakidhani amekwisha kufa.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

persecutions, afflictions, which came unto me at antioch, at iconium, at lystra; what persecutions i endured: but out of them all the lord delivered me.

スワヒリ語

udhalimu na mateso yangu. unayajua mambo yaliyonipata huko antiokia, ikonio na lustra. nilivumilia udhalimu mkubwa mno! lakini bwana aliniokoa katika mambo hayo yote.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and when he had found him, he brought him unto antioch. and it came to pass, that a whole year they assembled themselves with the church, and taught much people. and the disciples were called christians first in antioch.

スワヒリ語

alipompata, alimleta antiokia. nao wote wawili walikaa na lile kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. huko antiokia, ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa wakristo.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

and put forward to them a similitude; the (story of the) dwellers of the town, [it is said that the town was antioch (antakiya)], when there came messengers to them.

スワヒリ語

na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,762,394,319 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK