検索ワード: typical (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

typical

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

it gives the typical pakistani muslim mediocre mindset.

スワヒリ語

inampa mpakistani muislamu hasa fikra za hali ya chini.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

oh, but wait, isn’t this a typical pattern of involvement with a religion?

スワヒリ語

ah, ngoja, hii si namna ya kawaida kabisa ya kujihusisha na dini?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

is this a typical experience of somali journalists who assist western journalists with their reporting?

スワヒリ語

je, huu ndio uzoefu wa wandishi wa kisomali wanaowasaidia waandishi wa kimagharibi kuhabarisha?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

updates by observers on the ground are typical of many elections around the world, except that iraq is a special case.

スワヒリ語

habari mpya mpya kutoka kwa wasimamizi walioko nchini ni za aina sawa na zile za chaguzi nyingine duniani, isipokuwa iraki ni kesi ya aina yake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a typical scheme how the un and their stooges want to get it their way - or the way their master wants it.

スワヒリ語

ni utaratibu wa aina yake ambao umoja wa mataifa na washirika wake wanataka mambo yawe kwa kadiri ya wanavyotaka, au kwa kadiri ya wakubwa wao wanavyotaka iwe..

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

her boyfriend ross had the easy going aussie humor and zest for life typical of folks from 'down under.'

スワヒリ語

rafiki yake wa kiume ross alikuwa na bashasha na ucheshi wa ki-australia na mwenye furaha ya maisha kama ilivyo kawaida ya watu wakarimu na wanyenyekevu kutoka australia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

this recent post on his blog noticias para dios describes some of the sights and sounds of a typical day in his work , where he requests a search warrant from a judge.

スワヒリ語

makala yake ya siku za karibuni kwenye blogu yake noticias para dios inaeleza baadhi ya mambo ya kuoana na sauti za kusikia katika kazi zake za kila siku , jambo lililomsukuma kuomba kutoka kwa jaji waranti ya kupekua katika madanguro.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

herein, recombination of sars-cov is taken as a typical example, which also showed evidence of positive selection during interspecies transmission events.

スワヒリ語

hapa ndani, kuunganishwa tena kwa sars-cov kunazingatiwa kuwa mfano wa kawaida, ambao pia ulionyesha ushahidi wa uteuzi chanya wakati wa matukio ya usambazaji baina ya viumbe.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

ghana as the anti-nigeria, ie a new hi-tech singapore-style place rather than a typical agriculture exporting african country?

スワヒリ語

ghana, kama mpinzani wa naijeria, imekuwa sehemu mpya yenye teknolojia kubwa katika aina ya kisingapore badala ya kuwa nchi ya kiafrika yenye kutegemea mauzo ya kilimo zaidi?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

irresponsible reporting unfortunately, as is typical of breaking news coverage, there were conflicting reports regarding the number of attackers, as well as other rumors regarding a plane being burned down or hijacked, here are some reactions from twitter in response to shoddy media reports:

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, kama ilivyo kawaida ya uandishi wa habari kadri zinavyotokea, kulikuwa na tarifa za kujichanganya kuhusu idadi hasa ya washambuliaji, pamoja na tetesi kuhusu ndege kulipuliwa au kutekwa, hapa unaweza kuona baadhi ya miitikio kutoka kwneye mtandao wa twita dhidi ya taarifa za utatanishi zilizokuwa zinatangazwa:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,763,018,149 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK