전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
and they brought the young man alive, and were not a little comforted.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
baada ya siku kadhaa, yesu alirudi kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani.
and again he entered into capernaum, after some days; and it was noised that he was in the house.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda mungu akawajalia nafasi ya kutubu, wakapata kuujua ukweli.
in meekness instructing those that oppose themselves; if god peradventure will give them repentance to the acknowledging of the truth;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
dakika tano kabla ya mpira kumalizika, simba wakapata adhabu ndogo kutokea winga ya kulia, karibu na ndani ya lango la yanga.
five minutes from the end of the match, simba got a free-kick on the right wing, near the edge of yanga's box.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arobaini. baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.
and sounded, and found it twenty fathoms: and when they had gone a little further, they sounded again, and found it fifteen fathoms.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질: