검색어: career (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

career

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

career objective

스와힐리어

lengo la kazi nikuifanya kampuni kua nzuri na kila mtu kufurahia kazi yangu na huduma inayo tolewa kwenye kampuni yangu

마지막 업데이트: 2024-01-30
사용 빈도: 1
품질:

영어

in your career.

스와힐리어

kazi yako

마지막 업데이트: 2022-04-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

8) career news

스와힐리어

8) habari za kazi

마지막 업데이트: 2022-09-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the disruption to my career was also an important consideration.

스와힐리어

nilizingatia pia kwamba kazi yangu ya kitaaluma ingeingiliwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

and allah was predominant in his career, but most of mankind know not.

스와힐리어

na mwenyezi mungu ndiye mwenye kushinda katika jambo lake, lakini watu wengi hawajui.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

edom began her journalism career at the state-owned daily newspaper.

스와힐리어

edom alianza kazi yake ya uandishi wa habari akiwa na gazeti la kila siku linalomilikiwa na serikali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

jumia, kra, career point kenya, helb and techweez have gone up the ranking.

스와힐리어

jumia, kra, career point kenya, helb na techweez zimepanda chati.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the artist's performing career has also come to a near stop and he now rarely appears at public events.

스와힐리어

shughuli za maonesho ya muziki ya msanii huyo zimekuwa zikisua sua na kwa sasa haonekani sana wenye matukio ya hadharani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

but her tendency to ask critical questions was incompatible with the sycophantic culture of state journalism and she decided to take a different career path.

스와힐리어

hata hivyo, utaratibu wake wa kuuliza maswali ya kiudadisi haukuendana na utamaduni wa uandishi wa kuilinda serikali na ndipo alipoamua kuangalia jambo jingine la kufanya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

as a career statesman with a rich profile and long list of accomplishments, president paul kagame has a large following of admirers who look up to look up to him for guidance as hero.

스와힐리어

kama kiongozi wa dola wa muda, mwenye historia nzuri na orodha ndefu ya mafanikio, rais paul kagame ana wafuasi wengi wanaomchunuku na ambao wanamchukulia kama shujaa anayewapa uongozi katika maisha yao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it is strong tradition in china to respect the elderly and take care of parents as they get older, but modern lifestyles has meant that young people leave home for their own love and career.

스와힐리어

ni utaratibu wa lazima kabisa kwa nchi ya china kuheshimiwa watu wazima na kuwatunza wazazi kwa kadiri ya umri wao unavyosogea, lakini aina mpya ya maisha imewalazimu vijana wadogo huondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha yao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the catholics who teach moroccans languages and career skills in this building do not engage in proselytism but have caught up in the anti-christian sentiment following the recent expulsions of christians.

스와힐리어

wakatoliki wanaofundisha raia wa moroko lugha na stadi nyingine za kazi katika jengo hili hawashughuliki na uinjilishaji lakini nao wamenaswa na chuki hizi dhidi ya ukristo kufuatia kufukuzwa kwa wakristo kadhaa hivi karibuni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

and it is surprising when, on the contrary, someone sees their dream come true, those who succeed through music, those who build a career in a factory, those who study and set up a freelance profession.

스와힐리어

na pia, inashangaza, kwa upande mwingine, pale mtu anapoona kuwa ndoto zake zimekamilika, and it is surprising when, on the contrary, someone sees their dream come true, wale waliofaninikwa kupia mziki, wale waliojijengea ujuzi viwandani, wale waliosoma na kuweza kujiajiri.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

please refer to the above article that makes it clear. i have completed my studies at the university of dodoma (udom) in a bachelor's degree in pre-school. in addition to my undergraduate degree, i have also been able to learn well and about education career guidance and counseling, psychology, children's rights, sexual violence and evil practices that deny man his rights, and i have knowledge about gender and more. i'm feeling passionate

스와힐리어

tafadhari rejea katika kichwa cha habari tajwa hapo juu chajieleza wazi wazi.nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu cha dodoma (udom) katika shahada ya kwanza ya elimu ya awali.mbali na shahada yangu ya kwanza ya elimu ya awali,pia nimeweza kujifunza vizuri na kuhusu mambo ya education career guidance and counseling, psychology, children's rights,ukatili wa kijinsia na vitendo viovu vinavyomnyima mwanadamu haki yake,vile ninayo maarifa kuhusiana na mambo ya jinsia na mengine mengi.nasikia shauku

마지막 업데이트: 2024-04-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,747,996,864 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인