Je was op zoek naar: vichwa vya katika video (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

vichwa vya katika video

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

karibu katika video za youtube zilizokweza

Engels

welcome to youtube's managed videos

Laatste Update: 2022-12-10
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

unaweza kutazama matokeo mazuri ya upigaji picha wake katika video hii hapa:

Engels

you can see the stunning results of his photography in this video:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika video hii, maafisa wa polisi wanaonekana wakiongea katika lugha ya urdu:

Engels

the police forces in this video seem to be speaking in urdu:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

sotloff alitambulishwa katika video ya foley, angalizo likitolewa kuwa, yeye ndiye atakayefuatia.

Engels

sotloff was identified in the foley video, with a warning that he would be next.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika mji wa shiraz, wapinzani wanaoonyeshwa katika video hii waliichoma moto picha ya ahmadinejad.

Engels

in shiraz, protesters shown in this video burned president mahmoud ahmadinejad's photo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani.

Engels

and its fruits are like devils' heads.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hili linatokea baada ya polisi kunaswa katika video mbambali wakiwatesa waandamanaji 25 darini kwa kutumia fimbo na visu.

Engels

this comes after police were caught on different videos brutalizing 25 protesters on a roof with batons and knives.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika video hii, tafsiri ya maandishi katika lugha ya kiingereza, ahmed (adam) anasema:

Engels

in this video, subtitled in english, ahmed (adam) says:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

kwa mara nyingine tena, mateka mwingine, david haines, raia kutoka uingereza, inasemekana amejitokeza katika video hii.

Engels

now another hostage, david haines, from the uk, is said to appear in this second video.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika video hii nyingine tunamtembelea kevin irungu, kijana wa kiume ambaye anapata kipato chake kutokana na sanaa:

Engels

in this other video we visit kevin irungu, a young man who earns a living from his art:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hakuna katika haya yaliyogonga vichwa vya habari kama mwito wake kwa taifa hili kuheshimu haki za mashoga.

Engels

none of these have made as much news as his call on the nation to respect gay rights.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hii itakuwa kupoteza fedha, muda, rasilimali na kusumbua vichwa vya watu kama mambo yale yale yatatokea.

Engels

this would be a waste of money, time, resources and headache for everyone if another annulment is to occur.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hili linaonekana kuwa bayana katika video mpya iliyotolewa na al-shabab ikiwaonyesha vijana watatu wa ki-somali waliouawa wakati wa vita.

Engels

this seems evident in new footage released by al-shabab featuring three young somali-americans who died while waging war.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hata hivyo, ni rais wa senegal mwenye umri wa miaka 84, abdoulaye wade, ambaye anatawala vichwa vya habari.

Engels

however, it is the 84 year-old senegalese president, abdoulaye wade, who has been making headlines.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

besigye alipewa dhamana kwa sharti kuwa asijihusishe na kampeni ambayo imeuweka utawala wa uganda kwenye vichwa vya habari kwa majuma matatu sasa.

Engels

besigye had been granted bail on the condition that he would not engage in the campaign that has put the ugandan regime in the headlines for three weeks now.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

habari hii kwa haraka kabisa ilibadilisha vichwa vya habari vingine kwenye vituo vya televisheni na pia mitandao mingi ya kijamii ghafla ilihanikizwa na habari hii.

Engels

the news instantly replaced all other headlines on tv channels and social media were soon abuzz with it.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

je, yule jamaa anayevaa kibaghalashia huku akiwa kabeba gobore na mfuko uliojaa vichwa vya watu ndio “mwislamu wa kawaida”?

Engels

is the guy in a balaclava carrying a kalashnikov and a bag full of heads an "average muslim"?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

maoni ya crawford kuhusu vijana wanaoendelea kujishughulisha na shughuliza mashambani, pamoja na njia inayoonekana ya nchi kuelekea kwenye utajiri, yamekuwa kwenye vichwa vya waghana.

Engels

crawford’s remark about the youth still working on farms, despite the country’s apparent road to riches, has been on the minds of ghanaians.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika video ifuatayo, mwandishi wa global voices abel asrat anayeandikia ukurasa wa global voices kwa ki-ahmari alitoa maoni yake kuhusu sera ya obama kwa bara la afrika kama ilivyo leo:

Engels

in the video below, global voices contributor abel asrat for global voices in ahmaric gave his point of view on obama's policy in africa as of today:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

katika video iliotolewa jumatatu, agosti 12, timu ya soka ya grêmio of porto alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi.

Engels

in a video released monday, august 12, the soccer team grêmio of porto alegre brought together some of the key players on its roster, white and black, to talk about racism.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,791,562,647 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK