Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
la min aung refuted the allegation:
la min aung alikanusha madai hayo:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
however the allegation that polonium was used was a new detail.
hata hivyo, madai ya kwamba sumu ya poloni ilitumiwa, huo ulikuwa ushahidi mpya wa kina.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
this allegation came despite the fact that alaa waited outside the police station where his sister was detained on november 26 all evening until she was picked up by friends after police threw her and her colleagues in the desert.
madai hayo yalitokea licha ya alaa kusubiri nje ya kituo cha polisi ambapo dada yake alikuwa kizuizini novemba 26 jioni yote mpaka yeye alipochukuliwa na marafiki baada ya polisi kumrusha yeye na wenzake jangwani na kutelekezwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
however, the mmd through its former finance minister, situmbeko musokotwane, has denied the allegation saying the central bank is at is at liberty to print extra money without consulting the finance minister or the president because it has the mandate to do so.
hata hivyo, chama cha mmd kwa kupitia waziri wake wa zamani wa fedha situmbeko musokotwane, kimekana tuhuma hizo kikisema benki kuu inayo uhuru wa kuchapisha noti mpya za ziada bila kuwasiliana na waziri wa fedha ama rais kwa sababu ina mamlaka kamili ya kufanya hivyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and whencesoever you may go out, turn your face towards the holy mosque, and wherever you may be, turn your faces towards it, so that the people may have no allegation against you, neither those of them who are wrongdoers.
na popote wendako elekeza uso wako kwenye msikiti mtakatifu. na popote mlipo elekezeni nyuso zenu upande huo ili watu wasiwe na hoja juu yenu, isipokuwa wale walio dhulumu miongoni mwao.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
response for framed / cooked allegations towards employee
response for framed/cooked allegations towards employee
Última atualização: 2020-06-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: