Você procurou por: kushambulia (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

kushambulia

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

na mwenyezi mungu ndiye mkali zaidi wa kushambulia na mkali zaidi wa kuadhibu.

Inglês

allah is stronger in might and stronger in inflicting punishment.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

chloroquine ni dawa ya kuzuia malaria ambayo hutumika pia dhidi ya magonjwa fulani ya kingamwili kushambulia mwili kimakosa.

Inglês

chloroquine is an anti-malarial medication that is also used against some auto-immune diseases.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

miaka miwili iliyopita, muslim brotherhood kilikuwa kinatawala, kikituma wanajeshi kushambulia watu waliokuwa wakiandamana kwa kukaa.

Inglês

2 yrs ago, mb was ruling, sent cadets to attack sit-in.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

huenda mwenyezi mungu akayazuia mashambulio ya walio kufuru. na mwenyezi mungu ndiye mkali zaidi wa kushambulia na mkali zaidi wa kuadhibu.

Inglês

and allah is stronger in might and stronger in punishing.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kundi la waasi linalojulikana kwa jina la flec na ambalo limedai kuhusika na shambulizi hilo lilieleza kwenye taarifa yake kwamba wao walikuwa wamelenga kushambulia msafara wa polisi na si timu ya wachezaji ya togo.

Inglês

flec, the rebel group which has claimed responsibility for the attack, indicated in a statement that the police envoy, and not the togolese players, were the target.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hazem barakat anasema kuwa, polisi hawakutimiza wajibu wao kufuatia salafists kushambulia nyumba waliyokuwa wakikutania waumini wa shia huko misri (@7azem122)

Inglês

police remained idle as a home where shia egyptians were meeting today was attacked by salafists, says hazem barakat (@7azem122)

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

tufike mahali tuelewe kuwa hawa watu maarufu wana tabia ya kushambulia na hata kuzikosoa nchi zao walikozaliwa, si kwa sababu wanaipenda nchi hii lakini kwa sababu siku moja wanaweza kujikuta wakihamia marekani, ulaya na hata kwenye nchi nyinginezo.

Inglês

we should understand that these public figures attack or criticize their home country, not because they love this country but one day have the capability to embrace the united states, europe and other countries.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwezi novemba, watu nane waliuawa huko al ahsa, kwenye jimbo la mashariki, baada ya wanamgambo kushambulia kituo cha kijamii kinachomilikiwa na shia, mahali ambapo sherehe ya kidini ilikuwa ikiendelea.

Inglês

in november, eight people were killed in al ahsa, also in the eastern province, when gunmen attacked a shia community centre, where a religious ceremony was taking place.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

Inglês

he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

bango la anonymous, likitoa wito kwa wanaharakati kushambulia mitandao yaa serikali ya tunisiakichuja habari cha tunisia, ambacho kwa kawaida hujulikana kama ammar, kinaeendelea kutishia kuziharibu na kuzifunga anuani za wanaharakati wa mtandaoni, katika nchi hiyo ambayo imekuwa ikishuhudia wimbi la maandamano tangu katikati ya mwezi desemba.

Inglês

this post is part of our special coverage of tunisia revolution 2011. anonymous' poster calling activists to join the attack on tunisian government sites the tunisian censor, commonly known as ammar, continues to wreak havoc on activists' accounts, in a country that has been witnessing a wave of protests since the middle of december.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,765,501,509 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK