Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kila mlicho nacho sasa cha ziada kiwasaidie wale wanaohitaji, ili nao wakati watakapokuwa na ziada, wawasaidie ninyi katika mahitaji yenu, na hivyo kuwe na usawa.
but by an equality, that now at this time your abundance may be a supply for their want, that their abundance also may be a supply for your want: that there may be equality:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ndugu zangu, napenda mjue ukweli huu uliofichika msije mkajiona wenye akili sana. ukaidi wa wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu wa mataifa mengine watakapokuwa wamemfikia mungu.
for i would not, brethren, that ye should be ignorant of this mystery, lest ye should be wise in your own conceits; that blindness in part is happened to israel, until the fulness of the gentiles be come in.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arobaini walio tayari kumvamia. wameapa kutokula wala kunywa mpaka watakapokuwa wamemuua. sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako."
but do not thou yield unto them: for there lie in wait for him of them more than forty men, which have bound themselves with an oath, that they will neither eat nor drink till they have killed him: and now are they ready, looking for a promise from thee.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
watu watakapokuwa wanasema: "kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.
for when they shall say, peace and safety; then sudden destruction cometh upon them, as travail upon a woman with child; and they shall not escape.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível