Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
denn der heilige geist wird euch zu derselben stunde lehren, was ihr sagen sollt.
kwa maana wakati huo roho mtakatifu atawafundisheni kile mnachopaswa kusema."
da petrus noch diese worte redete, fiel der heilige geist auf alle, die dem wort zuhörten.
wakati petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, roho mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
nur daß der heilige geist in allen städten bezeugt und spricht, bande und trübsal warten mein daselbst.
ninachojua tu ni kwamba roho mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.
damit deutete der heilige geist, daß noch nicht offenbart wäre der weg zum heiligen, solange die vordere hütte stünde,
kutokana na taratibu hizo roho mtakatifu anafundisha wazi kwamba wakati ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia mahali patakatifu haijafunguliwa.