Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ukiritimba
monopoly
Последнее обновление: 2021-06-30
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini hakuna tena ukiritimba wa kutangaza habari.
but there is no longer a monopoly on broadcasting information.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
daniel mclaughling alijibu makala hiyo akihoji kwamba kumaliza ukiritimba katika huduma ya umeme ndilo haswa suluhisho linaloweza kuleta matokeo yanayoeleweka:
daniel mclaughling reacted to his post arguing that abolishing national monopolies on electrical utilities is the only solution capable of producing results:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mamia ya maelfu ya watu wanaandamana nchini kote bulgaria kupinga ukiritimba wa makampuni binafsi kuhusiana na huduma muhimu za jamii pamoja na hali ngumu ya kiuchumi!!!
hundreds of thousands are out in the streets across #bulgaria protesting private monopolies of utilities and economic hardship!!!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
tunaona utamaduni wa vijana wa ki-irani kama utamaduni ambao unakuzwa kwenye blogu na tunafanya juhudi kuwezesha mtindo usio na ukiritimba wa kublogu uwe ni mtindo wa utengenezaji habari.
we see iranian youth culture as a culture promoted by blogs and we are working to make the informality of blogging a trend in media making.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
huko sofia, baadhi ya kauli mbiu zilikuwa ni: "tuuchome moto ukiritimba!"; "watu wa bulgaria, amkeni!
in sofia, the slogans included: "let's set the monopolies on fire!"; "balkans, wake up!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
dimi lazhov alipakia picha kutoka jiji la kaskazinimagharibi la vratza lililopo kaskazinimagharibi ambapo watu wanaandamana kupinga ukiritimba pamoja na from the northwestern city of where people protesting against the monopoly and the new "rain tax."
dimi lazhov posted photos from the northwestern city of vratza where people protesting against the monopoly and the new "rain tax."
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
hatutundiki habari za mabloga tu, bali sisi ni mabloga na mtindo wetu ni wa kiana-blogu: ukaribu, bila ukiritimba, tofauti, kila moja na mtindo binafsi na mchanganyiko.
we don't just cover bloggers, we are bloggers and our style is bloggish: friendly, informal, different, personalized, and diverse.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
inanishangaza kwamba, pamoja na mazungumzo yote kuhusu kuongeza uzalishaji wa umeme, hakuna anayetaka kukiri kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa ukiritimba wa serikali na vitendo vya ufisadi ni tatizo, na kwamba mabilioni yanayokwenda serikalini yanakuza ufisadi tu, yakisaidia walengwa kwa kiasi kidogo sana.
it amazes me that, with all of the talk about increasing electricity production, nobody wants to admit into the discussion the possibility that government monopolies and corruption are the problem, and that billions more in money transferred to governments will only entrench the corruption further, with little benefit for the people.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: