Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wengine walitengeneza alama ishara ya #nkurunzizaplaylist, ambapo walituma vichwa vya nyimbo kwa ajili ya nkurunziza.
some created the #nkurunzizaplaylist hashtag, where they share titles of songs for nkurunziza.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ili kukabiliana na upungufu, coles waliangiza vifurushi vikubwa kutoka kwa bidha na kuongeza kwa mara ya kuwasilisha bidhaa, woolworths waliagiza bidhaa za ziada, huku aldi walitengeneza bidhaa kwa ajili ya mipango ya jumatano maalum mapema zaidi.
to further alleviate the shortage, coles ordered bigger packages from suppliers and increased delivery frequency, woolworths ordered extra stock, while aldi made stocks for a planned wednesday special available early.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
mashabiki walitengeneza pembe kutokana na makopo yaliyotupwa, kwa furaha ya wengi na kero kwa wengine: mwandishi wa afrika kusini jon qwelane aliandika mwaka 2007 kwamba “siku hizi, kuna kifaa kilichotokea kuzimu, kinachoitwa vuvuzela, ambacho kimepelekea uamuzi wangu wa kuacha kuhudhuria mechi na badala yake kuzianngalia kwenye televisheni, huku sauti ikiwa imeminywa kabisa.”
supporters made the horns out of discarded tin cans, and the use spread wildly, to the joy of many and the irritation of some: south african writer jon qwelane wrote in 2007 that “nowadays, there is an instrument from hell, called the vuvuzela, which has largely formed my decision to abandon all live games and rather watch on tv, with the sound totally muted.”
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: