İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
i gave all of them to residential officials.
nilivitoa vyote hivyo kwa maafisa wa makazi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
impotent officials are out of their mind!"
maafisa hawa wasio na nguvu yoyote wamerukwa na akili!"
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
but ministry officials didn’t like the negative comments.
lakini watendaji wa wizara hawakupendezwa na maoni yaliyokuwa hasi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the officials said: "we have lost the king's cup."
wakasema: tumepoteza kopo la mfalme.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
corruption among politicians and government officials in kenya is widespread.
ufisadi umeenea sana kati ya wanasiasa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kong rithdee, in his bangkok post blog, lambasted the reactions of the ministry officials
kwa upande wake, kong rithdee, katika makala aliyochapisha kwenye blogu inayoitwa bangkok post, alishambulia vikali vitendo vya watendaji wa wizara hiyo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
it’s worth mentioning that interior ministry officials in andijan gave no comment.
ni vyema pia kueleza kuwa maafisa wa wizara ya mambo ya ndani mjini andijan hawajatoa maoni yoyote.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
at the first sign of suspicious behavior, they immediately notify the police and local officials.
mara tu wanapoona kuna dalili zisizoridhisha, kw haraka sana huwajulisha polisi pamoja na maafisa wengine wa eneo husika.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
according to officials, the tragedy that took lives of at least 25 passengers was a terrorist attack.
kwa mujibu wa maofisa, dhahama hiyo iliyochukua maisha ya angalau abiria 25 ilikuwa ni shambulio la kigaidi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
as a contribution from me in competently implementing the execution sentences, i hope that this device interests the officials.
kama mchango wangu kwa taifa langu katika kufanikisha hukumu ya kifo kwa ufanisi, ninatumaini kuwa kifaa hiki kitawavutia maafisa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
misternv shares excerpts taken from a letter written by mwalimu nyerere to his ministers and party officials in 1964:
misterny anaweka vipande vya nukuu zilizochukuliwa kutoka kwenye barua iliyoandikwa na mwalimu nyerere kwa mawaziri wake na wakuu wa chama mwaka 1964:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
altai county in the western province of xinjiang implemented an income-reporting system for officials in january 2009.
mkoa wa altai katika jimbo la xinjiang ilitekeleza mfumo wa kutoa taarifa yakipato katika mwezi januari 2009.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
(the queen of sheba) said to her officials, "a gracious letter has been dropped before me.
(malkia) akasema: enyi wahishimiwa! hakika nimeletewa barua tukufu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
#2010memories@econfreedomza @mbuyisenindlozi the conduct of rsa and fifa officials mst nt be confused with world cup event.
vitendo vya serikali ya afrika kusini na maafisa wa fifa visitufanye kushindwe kufurahia tukio la kombe la dunia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
some u.s. officials and commentators criticized the u.s. reliance on importation of critical materials, including essential medical supplies, from china.
baadhi ya maafisa wa marekani na watoa maoni walisuta hatua ya marekani ya kutegemea ununuzi wa bidhaa muhimu, ikiwa ni pamoja na bidhaa muhimu za kimatibabu kutoka china.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
a township government in sichuan province is being called “china’s first completely nude government” after township officials issued salary and expenditure information online.
serikali moja ya mji huko katika jimbo la sichuan sasa inaitwa "serikali ya kwanza nchini china iliyo uchi kabisa" baada ya kuwa maafisa wa mji huo kuweka mishahara na matumizi ya serikali kwenye tovuti.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
a city government official
ofisi mpya za mji wa serikali
Son Güncelleme: 2019-07-31
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: