İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
karibea: tuzo za fasihi ya kifaransa
caribbean: french literary prizes · global voices
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
baadhi ya vitabu kutoka na kuhusu karibea.
a selection of books from and about the caribbean.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
waandishi kadhaa waishio karibea wamejiunga kwenye mjadala huo kwa kuacha maoni yao.
several writers based in the caribbean have joined the discussion by leaving comments.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wengine 80 elfu – laki 1 wanaishi katika mataifa mengine ya karibea au ufaransa.
another 80-100 thousand live in other caribbean nations or in france.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kundi dogo lenye nguvu na linaloendesha blogu za kiuandishi la wanaozungumza kiingereza huko karibea limeng'amua uwepo wa mgeni mpya katika mijadala yake.
the anglophone caribbean's small but energetic literary blogosphere has taken notice of a new arrival to its conversation.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
blogu hiyo ya vitabu ya karibea ilianza na insha iliyoitwa "kuvunja pingu”, ambapo ilichambua hali ya uchapishaji katika karibea na masoko ya vitabu vya karibea.
caribbean book blog began with an essay titled "breaking the shackles", analysing the state of caribbean publishing and the market for caribbean books.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
na mwisho, akiandika kutokea kisiwa cha karibea cha puerto rco, “gil the jenius” anaomba adhabu kali zaidi dhidi ya maofisa wa serikali wanaoshtakiwa dhidi ya rushwa.
finally, writing from the caribbean island of puerto rico, "gil the jenius" asks for tougher punishments against public officials convicted of corruption.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
pia linatumia lugha zote zinazotumika katika eneo la karibea - kiingereza, kihispania, kifaransa, kiholanzi - kwa kweli blogu hii inafanya kazi ya maana sana ya kusambaza taarifa na fikra.
covering all the caribbean's language areas — english, spanish, french, dutch — the blog plays an increasingly important role in spreading information and ideas.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
blogu ya vitabu ya karibea iliyoanzishwa na mwandishi wa habari kutoka st. lucian, tony williams, ina lengo la "kuwahabarisha waandishi wa vitabu na wasomaji kuhusu maendeleo ya hivi karibuni katika biashara ya kimataifa ya vitabu na jinsi gani maendeleo hayo yanaweza kuathiri jumuiya za usomaji katika ukanda wa karibea na visiwa dola vingine vidogovidogo."
caribbean book blog, created by the st. lucian journalist tony williams, aims to "inform writers and readers about the latest developments in the international book trade and how they are likely affect the literary communities in the caribbean and other small-island states."
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor