您搜索了: wahamiaji (斯瓦希里语 - 德语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

German

信息

Swahili

wahamiaji

German

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

德语

信息

斯瓦希里语

safari za wahamiaji

德语

die reise der migranten

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni wahamiaji wenyewe ndio wanaoelezea simulizi zao.

德语

erzählt werden diese geschichten von den immigranten selbst.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wote hawa, wamewekwa katika kundi la wahamiaji.

德语

sie alle werden als immigranten bezeichnet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wahamiaji 87 wafariki kwa kukosa maji kaskazini mwa niger

德语

87 migranten verdursten im norden von niger

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali ya myanmar inawachukulia watu wa jamii ya rohingya kuwa wahamiaji haramu.

德语

die regierung von myanmar betrachtet die rohingya als illegale einwanderer.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tunaanza ushirikiano wetu kwa kuanza na mada ya “safari za wahamiaji”.

德语

unsere partnerschaft beginnt mit dem thema “die reise der migranten”.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ndani ya jengo, wahamiaji wa jangwa la sahara wameweka mahema karibu sitini.

德语

im inneren der halle haben die immigranten aus subsahara-afrika rund 60 zelte aufgestellt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, kuna mradi wa mtandaoni unaosaidia kupata mawasiliano na watu hawa ambao kiujumla wanatambulika kama wahamiaji.

德语

aber es gibt da ein online-projekt, das hilft, einen kontakt zu jenen menschen herzustellen, die so vage als immigranten bezeichnet werden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

askari wa doria waliowarudisha wahamiaji nchini libya waliivunja kanuni inayopiga marufuku kitendo cha kuwarudisha wakimbizi kwenye hatari.

德语

italien wurde auch mehrmals für seine nicht mit den europäischen verträgen konforme anti-immigrations-politik verurteilt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na jamaa ni karibu wao kwa wao katika kitabu cha mwenyezi mungu kuliko waumini wengine na wahamiaji. ila muwe mnawafanyia wema marafiki zenu.

德语

und blutsverwandte sind einander näher als die (übrigen) gläubigen und die ausgewanderten - gemäß dem buche allahs -, es sei denn, daß ihr euren schützlingen güte erweist.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika wiki chache zilizopita, mamia ya wahamiaji mwa jangwa la sahara kutoka mali au niger wamehamia miji ya algeria katika mpaka wa mashariki.

德语

in den vergangenen wochen strömten hunderte subsaharische immigranten aus mali oder niger in grenznahe städte in ostalgerien.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

simulizi ya kuhuzunisha kutoka kwa mmoja wa watu walionusurika aliyejulikana kwa jina la shafa mwenye umri wa miaka 14, yaelezea taabu wanazokumbana nazo wahamiaji wengi wanaojaribu kwenda ulaya na vikwazo wanavyokabiliana navyo.

德语

die erschütternde geschichte einer der Überlebenden, der 14jährigen shafa, wirft ein licht auf die notlage vieler migranten, die versuchen europa zu erreichen, und auf die hindernisse, welchen sie sich gegenübersehen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

surprising europe ni ya wahamiaji, lakini pia, inamhusu mwingine yeyote apendaye kupata ufahamu wa kutosha na kuwafahamu hawa wahamiaji. na ngalao kufahamu kwa undani zaidi kuhusu maisha yao.

德语

surprising europe gehört ihnen, den immigranten, aber auch allen denjenigen, die diese immigranten verstehen und besser kennenlernen möchten: denen, die an der oberfläche kratzen möchten.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

matukio ya wahamiaji wanaofanya kazi za ndani kuwashitaki waajiri wao kwa kuwadhalilisha yanazidi kushika kasi, hata hivyo, wanakabiliwa na changamoto za kisheria na hatari ya kuwekwa gerezani na kurudishwa makwao kutokan na mfumo kandamizi wa taratibu za uhamiaji.

德语

sie wurde mit einem bußgeld belegt und musste gegenüber einer ausländischen hausangestellten, deren lohn sie jahrelang nicht gezahlt hat, schadenersatz leisten. ausländische hausangestellte verklagen ihre arbeitgeber wegen solchen missbrauchs, aber sie sehen sich mit gesetzlichen hindernissen konfrontiert und riskieren eine freiheitsstrafe und abschiebung aufgrund des restriktiven visasystems. wir berichteten zuvor über proteste im libanon gegen das kafalasystem.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya gabriele del grande, fortresseurope.blogspot.com , huchapisha taarifa kuhusu shughuli za 'ngome ya ulaya' kwa ajili ya utetezi wa haki za wahamiaji.

德语

sie schlafen in fensterlosen zimmern von 4 mal 5 metern, bis zu 20 personen liegen auf matten und schaumstoffmatratzen auf dem boden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi karibuni, rais wa chama cha jumuiya ya wahamiaji wa guinea-bissau waishio marekani, celina spencer, pia alizindua madai yaliyoelekezwa kwa tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa, kujaribu na kupata msaada wa kujua aliko mwandishi huyo.

德语

vor kurzem hat die präsidentin des vereins der gemeinschaft von migranten aus guinea-bissau in den usa, celina spencer, auch eine petition an den hohen kommissar der vereinten nationen für menschenrechte gestartet, um unterstützung für die suche nach der journalistin zu bekommen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,754,081 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認