来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.
venit ergo iterum in cana galilaeae ubi fecit aquam vinum et erat quidam regulus cuius filius infirmabatur capharnau
yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri habari njema juu ya ufalme wa mungu. aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
et circumibat iesus totam galilaeam docens in synagogis eorum et praedicans evangelium regni et sanans omnem languorem et omnem infirmitatem in popul
basi, alipofika galilaya, wagalilaya wengi walimkaribisha. maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu ya pasaka, wakayaona mambo yote yesu aliyotenda huko yerusalemu wakati wa sikukuu hiyo.
cum ergo venisset in galilaeam exceperunt eum galilaei cum omnia vidissent quae fecerat hierosolymis in die festo et ipsi enim venerant in diem festu