您搜索了: kuenezwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuenezwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kwa siku tunazoishi za teknolojia mpya na intaneti habari kama hizi zinaweza kuenezwa kwa haraka.

英语

in this new age that we live in, where technology and social media have become a way of life, information can gather and spread very rapidly putting issues in the spotlight.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

virusi hivyo vinadhaniwa kuwa vya asili na vinatoka kwa wanyama, kupitia maambukizo ya kuenezwa.

英语

the virus is thought to be natural and have an animal origin, through spillover infection.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wengi wanafikiri kama harakati hizi zitaendelea, na kama zitaweza kuenezwa katika miji na majiji mengine.

英语

many wonder if this new movement will continue, and whether it could spread to other towns and cities.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mauzo ya wanyama wa pori na magonjwa yanayoweza kuenezwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu – hatari za afya zinazohusishwa na biashara ya wanyama wageni wa porini

英语

wildlife smuggling and zoonoses – health risks associated with the trade in exotic wildlife

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika ukaguzi huu, tunawasilisha muhtasari wa ujuzi uliopo kuhusu aina saba za hcov, kwa kuangazia historia ya kugunduliwa kwake pamoja na chanzo chake kwenye wanyama na kuenezwa kwake kutoka kwa aina moja ya mnyama hadi nyingine.

英语

in this review, we present an overview of the existing knowledge about the seven hcovs, with a focus on the history of their discovery as well as their zoonotic origins and interspecies transmission.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huko gangelt, ugonjwa huo ulienezwa katika sherehe za kanivali, na kuenezwa kwa vijana, na kusababisha vifo visivyo vingi, na sio vifo vyote vya covid-19 vinaweza kuorodheshwa rasmi kwa namna hiyo.

英语

in gangelt, the disease was spread by carnival festivals, and spread to younger people, causing a relatively lower mortality, and not all covid-19 deaths may have been formally classified as such.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuibuka kwa sars-cov-2 katika china ya kati mwishoni mwa 2019 kumevifanya virusi vya covs kuangaziwa kwa mara nyingine na kutushangaza kwa uwezekano wake wa juu wa kuenezwa lakini vikapunguza hali ya kusababisha ugonjwa ikilinganishwa na virusi vinavyofanana nayo vya sars-cov.

英语

the emergence of sars-cov-2 in central china at the end of 2019 has thrusted covs into the spotlight again and surprised us with its high transmissibility but reduced pathogenicity compared to its sister sars-cov.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,763,281,768 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認