您搜索了: kupuuza (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kupuuza

英语

ignore

最后更新: 2013-07-28
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baada ya twiti hii, watumiaji wengine wa mtandao huo walitaarifu kuwa ivanov alikuwa amekataa au kupuuza mialiko kwenye mahojiano au midahalo kutoka kwenye vyombo huru vya habari.

英语

after this tweet, other users reported that ivanov had rejected or ignored invitations for interviews or debates from other independent media outlets.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

bila ya shaka hatuwezi kupuuza nyayo za marekani katika kila majalada ya wasifu wa irani hasa yale ya kiuchumi hata kama ni kwa uchache, kutokana na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya taifa la irani.

英语

undoubtedly we can not ignore trace of us leaders in all of iran's dossiers also at least in economical aspect by embargos which have imposed to iran's nation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kufungiwa kwa vyombo vya habari vya ndani kunasindikizwa na "kususiwa" na vile vya kimataifa, ambavyo wala hakuna anayewafuatilia isipokuwa tu kupuuza na kuona kama yanayoendelea hayawahusu.

英语

venezuela’s domestic media blackout is joined by a parallel international blackout, one born not of censorship but of disinterest and inertia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

waziri mkuu ameamua kupuuza tahadharani za wanasayansi, akitegemea zaidi taarifa za sehemu za udhibiti kwenye viwanja vya ndege, akisema kwamba mazingira ya afya ya umma nchini madagaska yamelindwa kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoingia nchi humo kutoka kwenye maeneo yanayokabiliwa na mlipuko wa maradhi hayo.

英语

the pm is choosing to ignore the warnings of scientists, relying instead on airport controls, noting that madagascar’s public health environment is protected by the lack of flights from the areas affected by the virus.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

al jazeera, kwa mfano, ilifanya wajibu wake kwa namna ya pekee katika kuripoti maandamano yaliyotokea katika nchi kadhaa za ki-arabu, lakini watumiaji wa mtandao wanasema shirika hilo linaonekana kupuuza matukio yanayoendelea nchini sudani.

英语

al jazeera, for instance, played a prominent role in reporting the uprisings in several arab countries, but netizens say it seems to ignore the events currently unfolding in sudan.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

uadilifu na uwajibikaji: ununuzi bora unawawajibisha watendaji wake kutekeleza na kutii sheria. inawafanya kuwa chini ya changamoto na vikwazo, ikiwa inafaa, kwa kupuuza au kupindisha sheria hizo. uwajibikaji mara moja ni kichocheo kikuu kwa uwazi wa mtu binafsi na wa kitaasisi, kizuizi kikuu cha njama na ufisadi, na hitaji kuu la uaminifu wa ununuzi. masuala ya kimaadili ni miongoni mwa baadhi ya vikwazo katika kufikia thamani ya fedha. watu i

英语

integrity and accountability: good procurement holds its practitioners responsible for enforcing and obeying the rules. it makes them subject to challenge and to sanction, if appropriate, for neglecting or bending those rules. accountability is at once a key inducement to individual and institutional probity, a key deterrent to collusion and corruption, and a key prerequisite for procurement credibility. ethical issues are amongst some of the obstacles in achieving value for money. people i

最后更新: 2021-12-27
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,761,767,709 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認