您搜索了: kuugua (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuugua

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ikiwa na watu zaidi ya milioni 60 wanaougua ugojwa wa kisukari na wengine wanaokadiriwa kufikia milioni 77 walio katika hatihati ya kuugua ugojwa huu, nchi ya india inajikuta katika vita kali ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa kisukari.

英语

with over 60 million diabetics and another estimated 77 million people being considered pre-diabetic, india is caught in the throes of a diabetes crisis.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mehdi hassan khan ambaye alijulikana kama ‘mfalme ghazal’ alifariki jumatano ya tarehe 13, juni, 2012 baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya jiji la karachi nchini pakistan.

英语

mehdi hassan khan also famously known as the ‘king of ghazal’ passed away on wednesday, 13, june, 2012 after a protracted illness, in a local hospital in karachi city of pakistan.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni vigumu kueleza idadi kamili ya watu walioathiriwa na sera zilizopita juu ya vvu na ukimwi, lakini shirika la treatment action campaign (tac) (kampeni ya kutetea tiba) linakadiria kwamba kiasi cha raia milioni mbili wa afrika ya kusini walikufa kutokana na kuugua ukimwi katika kipindi ambapo mbeki alikuwa madarakani, na kwamba walau jumla ya vifo 300,000 vingeweza kuepukwa endapo tu angetimiza baadhi ya mambo ya msingi ya kikatiba.

英语

it's difficult to determine how many lives were impacted by previous hiv/aids policies, but the treatment action campaign (tac) says that over two million south africans died of aids during mbeki's presidency and at least 300,000 deaths could have been avoided if he had met basic constitutional requirements.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,761,958,728 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認