您搜索了: kwa dakika chache (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kwa dakika chache

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

zimebaki dakika chache

英语

in a few minutes

最后更新: 2023-09-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bado ila dakika chache zijazo nitakuwa nishafika

英语

unataka kula nini wakati wa chakula cha jioni

最后更新: 2022-08-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

watu wengi hugusa nyuso zao kila dakika chache, siku nzima.

英语

most people touch their faces every few minutes, all day long.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

waisraeli walimpigia simu na kumwambia kuwa wangeipiga mabomu nyumba yake katika dakika chache.

英语

the israeli army had called him and told him they would bomb his home within a few minutes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@beleidy: ala, mfalme wa saudia amezungumza kwa dakika chache, na amemwaga pesa na fursa za kazi zaidi

英语

@beleidy: so the saudi king speaks for minutes, and then gives the people more money and jobs

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika dakika chache zilizofuata, jumbe za tweeter zikaanza kutokea zikithibitisha kwamba nao pia walilihisi tetetmeko.

英语

within next minutes, tweets started to appear confirming that they also felt the earthquake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tafadhali subiri medium_dash hii huenda ikachukua dakika chache kwa kutegemea kasi ya muunganisho wako wa tovuti.

英语

please wait this medium_dash may take a few minutes depending on the speed of your web connection.

最后更新: 2022-01-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.

英语

minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ndipo kundi la maafisa wa polisi lilipomgeukia mwangosi, kwa kumpiga vibaya kwa dakika kadhaa.

英语

a group of police officers then turned on mwangosi, beating him badly for several minutes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baadae kidogo, kila mmoja akawa ameufahamu na kama kwa dakika 40 hivi wimbo uliimbwa kwa mfululizo.

英语

a while later, everyone had caught on and for like 40 minutes you could hear non-stop.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ndani ya dakika chache baada ya habari kusambaa, hata hivyo, haikuwa imejulikana wazi, kwa hakika, nini hasa kilikuwa kimetokea.

英语

in the immediate few minutes after after the news broke, however, it was still unclear what, exactly, was going on.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dakika chache baadaye, gari lingine la cpvpv na gari la polisi lilikuja kuwakamata na kuwapeleka katika kituo cha polisi cha al-sulaimaniyah.

英语

minutes later, another cpvpv car and a police car came to arrest them and took them to al-sulaimaniyah police station.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dakika chache baadae, baada ya mwamuzi kupiga kipenga kuashiria pambano kuisha, baadhi ya wachezaji wa simba walianguka uwanjani, wasiamini kilichotokea.

英语

a few minutes later, after the referee had blown for full time, some simba players collapsed to the ground, not quite believing what they had just pulled off.

最后更新: 2024-03-16
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

utaratibu huu huhitaji kuosha mikono na kigasha cha mikono hadi kwenye kiwiko, kwa kawaida kwa dakika 2-6.

英语

this procedure requires washing the hands and forearms up to the elbow, usually 2–6 minutes.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, hakuchukua hatua yoyote kuzuia ukatili huo, na dakika chache baadae bomu la kutoa machozi lililipuliwa kwa karibu mno kuelekea kwenye sehemu ya tumbo la mwangosi.

英语

however, he took no steps to stop this, and a few minutes later a tear gas cannister was shot into mwangosi's stomach from point blank range.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sielewi ni vipi kuna watu wengi ambao hawawezi kuwa kwenye ndoa hata kwa dakika moja zaidi, je nini kitakachotokea kwa watoto wao ikiwa pendekezo hili litafanya kazi.

英语

i do understand that there are many people who couldn’t stand being married a minute longer, but what would happen to the children if this proposal takes effect.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni kelele moja endelevu kwa dakika 90. mpaka inafikia unaanza kujiuliza ni muda gani ambapo filamu hii ya kutisha ya dalaja la b itakapovunjika mbele ya macho yako.

英语

it’s just one long 90 minute droning sound. to the point you begin to wonder when the b-list horror movie is going to break out before your eyes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dakika chache baadae,kona iliyochongwa na ramadhan singano iliunganishwa kwa nguvu na beki wa kati wa uganda joseph owino na ghafla ikawa 3-2, sasa mpira ukawa kwenye mikono yetu.

英语

a few minutes later a corner kick swung in by ramadhan singano was headed powerfully into the net by the ugandan centre-back joseph owino and all of a sudden it was 3-2, and we had a game on our hands.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

western sahara info amekuwa akiblogu mgogoro huu tokea ulipoanza, na leo ametuletea habari za mapinduzi hayo ya kijeshi kama zinavyotokea dakika kwa dakika, pamoja na muhtasari wa unyambuzi:

英语

western sahara info has been blogging the crisis from its outset, and today provided up-to-the-minute information on the coup, including a brief analysis:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mkuu wa majeshi ya misri, generali abdel fattah al sisi, katika matangazo ya mojakwa moja dakika chache zilizo pita, alisema kuwa, jaji mkuu wa mahakama ya katiba ndiye atakayekuwa rais mpya wa mpito na kwamba serikali ya kitaifa ya kiteknokrasia itaundwa.

英语

head of the egyptian armed forces general abdel fattah al sisi said in an announcement broadcast live minutes ago that the chief justice of the constitutional court will be the new interim president and that a technocrat national government will be formed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,759,278,742 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認