您搜索了: pembezoni (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

pembezoni

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

mapambano ya mwanzo katika njia iliyoko pembezoni mwa mto nile.

西班牙语

la vanguardia de los enfrentamientos en la cornisa del nilo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi alipo fika ilinadiwa: amebarikiwa aliomo katika moto huu na walioko pembezoni mwake.

西班牙语

al llegar a él, le llamaron: «¡bendito sea quien está en el fuego y quien está en torno a él!

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

“tunaona kwenye televisheni watu wakiwa wamesombwa na maji na kuletwa pembezoni mwa ukingo wa bahari.

西班牙语

"nosotros vemos por televisión personas que han sido arrastradas a la orilla del mar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

majengo mengi yaliyokuwa ya ghorofa 3 pembezoni mwa barabara hivi sasa yamebaki kuwa ya ghorofa 2 tu, mengi yameanguka.

西班牙语

la mayoría de los edificios de 3 pisos al lado del camino ahora tenía 2.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maudhui ya mkutano huo yalikuwa mitandao ya kijamii -kutoka pembezoni kwenda kwenda kwenye vyombo vikuu vy habari.

西班牙语

el tema de la conferencia fue los medios sociales – desde los márgenes a la corriente principal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.

西班牙语

en la región, la degradación de la tierra y el cultivo de tierras marginales aumentan el riesgo de que los eventos extremos puedan convertirse en desastres naturales.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kusababisha uharibifu mkubwa pembezoni mwa pwani ya atlantiki nchini marekani, kimbunga kikubwa sandy kinachukuliwa kama kimbunga kilichosababisha madhara makubwa ambayo hayakuwahi kutokea.

西班牙语

después de causar grandes daños en la costa atlántica de estados unidos, el huracán sandy ha sido calificado como la tormenta más cara del mundo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika kipindi hiki, kwa maeneo ya mijini, maji yatakuwa yakitolewa kupitia mbinu ya kupunguza kani eneo, lakini hakutakuwa na maji kwa mtaa wa gaoping na maeneo mengine ya pembezoni.

西班牙语

durante este tiempo el abastecimiento de agua en el área urbana de la ciudad se hará vía técnicas de depresurización pero el suministro de agua en el distrito de gaoping y en áreas remotas será suspendido.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

'eneo kijani’'s 'nchini afghastan', pana lenye rutuba, lililolimwa pembezoni mwa bonde la mto helmand.

西班牙语

la 'zona verde' de afganistán, un trecho de fértil tierra cultivada a lo largo del valle del río helmand.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mohamed gabow, meya wa garissa, aliiambia reuters kuwa uandikishaji huo wa vijana wa kikenya wenye asili ya kisomali ulikuwa unafanywa katika nyumba moja kwenye kijiji cha bulla iftin, kilichopo pembezoni mwa mji wake.

西班牙语

mohamed gabow, el alcalde de garissa, le dijo a reuters que el alistamiento de kenianos de etnia somalí estaba siendo llevado a cabo en su país en la aldea de bulla iftin, en las afueras de su ciudad.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mnamo oktoba 17, 2012, mamilioni ya watu walijipanga katika misafara pembezoni mwa barabara itokayo uwanja wa ndege wa kimataifa kuelekea katika kasri tukufu ili kutoa heshima yao ya mwisho kwa mfalme, tukio linalokumbusha tukio la kihistoria la kurudi nchini kambodia kwa mfalme sihanouk mwaka 1991 baada ya kuwa nje ya nchi kwa miaka 13.

西班牙语

el 17 de octubre de 2012, millones de personas esperaban en fila a lo largo del camino del aeropuerto internacional hasta el palacio real para presentar sus respetos al rey, recordando el regreso histórico de sihanouk a camboya en noviembre de 1991 después de haber estado fuera del país durante 13 años.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@shurufu: watanzania wakiwa wamejipanga pembezoni mwa barabara ya sokoine wakisubiri kumpokea barack obama @barackobama to #tanzania. #obamaintanzania #obamainafrica pic.twitter.com/yxmtpde9ko

西班牙语

la gente hizo cola en las calles para dar la bienvenida al primer presidente afroamericano a sus costas, como muestra la foto publicada en el siguiente tuit:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,742,696,288 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認