您搜索了: wakimbizi (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

wakimbizi

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

irani yaanza kutoa huduma ya bima ya afya kwa wakimbizi

西班牙语

irán proveerá asistencia sanitaria pública a los refugiados

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

global voices yaanzisha ushirikiano na shirika la kukutanisha wakimbizi

西班牙语

global voices se asocia con refugees united refugees united

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hadithi ya wakimbizi wa njaa kutoka niger katika algeria mashariki

西班牙语

el relato de los refugiados de la hambruna de nigeria en el este de argelia

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

afrika: teknohama kwa ajili ya wakimbizi na watu wasio na makazi

西班牙语

África: tics para refugiados y personas desplazadas

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

-wakimbizi wataunda kambi kwenye nchi tajiri zaidi na kusababisha matatizo

西班牙语

-los refugiados establecerán campamentos en naciones más prósperas, y ello conlleva ciertos problemas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatukubadilisha sera zitakazoathiri maisha ya wakimbizi wasio na hatia ambao idadi yao haifahamiki.

西班牙语

«nosotros» no cambiamos las políticas que afectarán a las vidas de innumerables refugiados inocentes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

anaamini kuwa filamu zinazotambua utu wa wahamiaji na wakimbizi ndizo zilizo za muhimu kabisa.

西班牙语

mcallister cree que las películas que humanizan a los emigrantes son ahora más importantes que nunca.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

irani imekuwa ikikosolewa kwa kutokuwapokea wakimbizi wa syria wakati wote wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.

西班牙语

irán ha sido criticado por no acoger ningún refugiado sirio durante la guerra civil allá.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa tovuti ya unhcr, irani inahifadhi idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani.

西班牙语

según la página web del unhcr, irán es el hogar de una de las "poblaciones de refugiados más grandes y de más prolongada estadía en el mundo".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kambi za wakimbizi katika mpaka wa kenya na somalia yafaa ufungwe sasa na hao watu wasaidiwe kurudi nchini kwao.

西班牙语

los campamentos de refugiados en kenia con la frontera de somalia deberían estar cerrados y esas personas deberían recibir ayuda para regresar a su país.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

askari wa doria waliowarudisha wahamiaji nchini libya waliivunja kanuni inayopiga marufuku kitendo cha kuwarudisha wakimbizi kwenye hatari.

西班牙语

las patrullas que regresaron a los migrantes a libia incumplieron el principio de no rechazo .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

karibu watu 250,000 waliuawa wakati wa vita, na malaki kadhaa walikimbilia nchi jirani au ulaya na marekani kama wakimbizi.

西班牙语

casi 250,000 personas perdieron la vida en la guerra, y muchos fueron exiliados a países vecinos ya sea en europa o estados unidos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ahmed aliishi kwa muda kwenye kambi ya wakimbizi ya ifo kabla ya kupewa makazi huko colorado nchini marekani ambako alipewa uraia kamili wa marekani.

西班牙语

ahmed vivió un tiempo en el campamento de refugiados de ifo, antes de ser reasentado en colorado en los ee.uu. donde se le concedió la plena ciudadanía de los ee.uu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chama hiki kimetoa ripoti nyingi, shuhuda, na filamu kuhusu wanavyotendewa wakimbizi nchini italia na katika nchi zingine za ulaya.

西班牙语

la asociación ha producido una gran cantidad de informes, relatos de primera mano y películas de tratos a refugiados en italia así como otros países europeos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa makadirio ya 2015, shirika la unhcr lilionesha matarajio yake kwa mpango huo mahsusi kwa wakimbizi wa afghani, iraq na pakistani kama inavyooneshwa kwenye picha ifuatayo.

西班牙语

para su proyección del 2015, el unhcr detalló sus expectativas para la acogida de irán de refugiados afganos, paquistaníes e iraquíes como está esbozado en la imagen líneas abajo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mfano, mobileactive, inahamasishwa na uwezo wa simu za mkononi zinavyowawezesha wakimbizi siyo tu kuwasiliana na wapendwa wao, bali pia kuweza kujua mahali walipo.

西班牙语

mobileactive, por ejemplo, se ve alentada por el potencial de los teléfonos móviles que permite que los refugiados no sólo permanezcan en contacto con sus seres queridos, sino también que sea más fácil localizarlos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

imevunja haki zao za kimataifa za binadamu kama wakimbizi kwa mujibu wa tangazo la kwenye vyombo vya habari lilitolewa hivi karibuni na shirika la human rights watch, kwa sababu wakimbizi wanatakiwa kuwekwa kwenye mazingira ya kiraia.

西班牙语

este proceder viola también sus derechos humanos internacionales como refugiados, de acuerdo al comunicado de prensa de human rights watch, puesto que los refugiados están destinados a permanecer como civiles.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, kuna raia wa mtandao na wanablogu wengi pia ambao wanafurahia matokeo mazuri ya utekaji nyara, na kupongeza kazi ya wafanyakazi wa kujitolea na hata shirika lenyewe katika jamii yenye mazingira magumu kama yale ya wakimbizi.

西班牙语

sin embargo, también ha habido muchos internautas y blogueros que se congratulan por el feliz final del secuestro y alaban la labor que las cooperantes y la organización a la que pertenecen llevan a cabo en una comunidad tan vulnerable como la de los refugiados.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatua ya serikali ya irani kutoa huduma hizi kwa wakimbizi imekosolewa sana, hata hivyo, ripoti ya mwaka 2013 shirika la haki za binadamu iliyoonesha kwamba wakimbizi wa afghanistani walikuwa wakitendewa uonevu na wakati mwingine kunyanyaswa na wananchi wa irani na serikali.

西班牙语

el trato de irán de este sector demográfico ha estado sujeto en el pasado a criticismo, sin embargo, lo más destacado es el informe del 2013 de human rights watch que detalló el maltrato y abuso que algunas veces sufrían los afganos tanto por parte de la sociedad iraní como del gobierno.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kiwango cha janga la vita vya syria ni vigumu kulielezea: zaidi ya watu 200,000 wamepoteza maisha, milioni 6 wakiwa wakimbizi wa ndani, na milioni 3 na zaidi wakiishi kama wakimbizi.

西班牙语

la escala de la tragedia siria es difícil de comprender: más de 200.000 muertos, 6 millones de desplazados internos y 3 millones más viviendo como refugiados.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,749,038,008 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認