您搜索了: ghazzawi (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

ghazzawi

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

weddady quotes razan ghazzawi

斯瓦希里语

weddady amnukuu razan ghazzawi

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

update: razan ghazzawi is free!

斯瓦希里语

habari mpya: razan yu huru!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

and an angry razan ghazzawi blogs:

斯瓦希里语

na razan ghazzawi mwenye ghadhabu kubwakupitia blogu yake:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nadine ghazzawi, razan's sister just tweeted:

斯瓦希里语

nadine ghazzawi, dada yake razan ametuma ujumbe kwenye twita:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the post does not say when ghazzawi is expected to be freed.

斯瓦希里语

makala haisemi hata hivyo, ni lini hasa ghazzawi anatarajiwa kuachiwa huru.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

syria: blogger razan ghazzawi is free! · global voices

斯瓦希里语

syria: mwanablogu razan ghazzawi ameachiwa huru!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

syrian blogger razan ghazzawi has been freed after spending 15 days in a syrian prison.

斯瓦希里语

mwanablogu wa ki-syria razan ghazzawi ameachiwa huru baada ya kuishi gerezani kwa siku 15.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the free razan poster many supporters replaced their facebook and twitter avatars with, calling for the release of razan ghazzawi

斯瓦希里语

bango la “mwachieni razan” wanaomuunga walibadili picha zao za utambulisho na kuipachika picha hii kwenye kurasa zao facebook na twita, wakitoa wito wa kuachiliwa huru kwa razan ghazzawi

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

nadine ghazzawi, razan's sister, responds to the news on the above facebook post saying:

斯瓦希里语

nadine ghazzawi, dada yae razan, aliitikia habari hizo za facebook hapo juu kwa kusema:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in addition to blogging, ghazzawi is an avid twitter user, who has contributed to both global voices online and global voices advocacy.

斯瓦希里语

zaidi ya kublogu, ghazzawi ni mtumiaji mkubwa wa twita ambaye amechangia sana kama mwandishi kwenye global voices online na global voices advocacy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

eight days after her arrest, ghazzawi was charged with a list of crimes - refuted by the blogging community and described as a farce.

斯瓦希里语

siku nane baada ya kukamatwa, ghazzawi alishtakiwaorodha ndefu ya mashtaka - yaliyopingwa na jumuiya ya wanablogu na kuyaelezea kama mchezo wa kuigiza.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

egyptian blogger wael abbas says : @waelabbas: news circulating on the release of syrian blogger razan ghazzawi on bail in damascus

斯瓦希里语

mwanablogu wa misri wael abbas anasema : @waelabbas: habari zinasambaa kuhusu kuachiwa kwa dhamana kwa mwanablogu wa syria razan ghazzawi mjini damascus

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

while syrian alaa khangar tweets : @alkh81: the judge agrees to release journalist and blogger razan ghazzawi, according to heyam jameel

斯瓦希里语

wakati msyria alaa khangar anatuma ujumbe kwenye twita : @alkh81: jaji amekubali kumwachia mwanahabari na mwanablogu razan ghazzawi, kwa mujibu wa heyam jameel

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@profkhaf: razanz reports that #freerazan ghazzawi's release on bail has been approved.approved,not accomplished yet. '

斯瓦希里语

@profkhaf: razanz inaarifu kwamba #freerazan kuachiliwa kwa dhamana kwa razan ghazzawi kumethibitishwa, lakini bado taratibu hazijakamilishwa bado.'

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,762,635,249 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認