Results for disasters translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

disasters

Swahili

chakula

Last Update: 2013-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

natural disasters

Swahili

majanga ya asili

Last Update: 2024-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i mean, we rarely have natural disasters and things like that.

Swahili

yaani, ni nadra kwetu kukumbwa na majanga ya asili na mambo kama hayo.

Last Update: 2024-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the world is experiencing natural disasters, nigeria is experiencing self inflicted disasters.

Swahili

wakati dunia inakumbwa na majanga ya asili, naijeria inakumbwa na majanga tuliyoyatengeneza wenyewe.

Last Update: 2024-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

netizens expressed their outrage on social media about the repeated disasters at garments factories.

Swahili

watumiaji wa mtandao wameonesha katika mitandao ya kijamii hali ya kufedheheshwa kufuatia matukio haya yanayojirudiarudia katika viwanda vya nguo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the factory owners or those responsible are rarely convicted for their lapses that lead to the big disasters.

Swahili

wamiliki wa viwanda au hao wanaohusika ni nadra sana kuhukumiwa kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kulikopelekea uharibifu mkubwa kiasi hiki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in the region, land degradation and cultivation of marginal land increase the risk that extreme events can develop into natural disasters.

Swahili

katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

six months after yolanda, more than a year after the previous disasters we don't even know what exactly the affected communities need?

Swahili

miezi sita baada ya kimbunga cha yolanda, zaidi ya mwaka baada ya maafa yaliyopita hatujui hata ni nini hasa wanajamii walioathirika wanachohitaji?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

not only today's disaster in savar, we have heard many times after the previous factory disasters that those who responsible including the owners will be brought to justice.

Swahili

siyo tu uharibifu huu wa leo wa savar, tumeshasikia mara nyingi sana ukiachia maafa haya ya kuporomoka kwa viwanda kwani hao wanaohusika ikiwa ni pamoja na wamiliki watafikishwa mahakamani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

disasters will continue to strike those who disbelieve, because of their deeds, or they fall near their homes, until god’s promise comes true.

Swahili

wala walio kufuru hawaachi kusibiwa na balaa kwa waliyo yatenda, au ikawateremkia karibu na nyumbani kwao, mpaka ifike ahadi ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

disasters shall continue to strike the disbelievers on account of their deeds, or descend near their homes until allah’s promise comes; indeed allah does not break the promise.

Swahili

je, hawajajua walio amini kwamba lau kuwa mwenyezi mungu ange penda bila ya shaka angeli waongoa watu wote? wala walio kufuru hawaachi kusibiwa na balaa kwa waliyo yatenda, au ikawateremkia karibu na nyumbani kwao, mpaka ifike ahadi ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

disaster

Swahili

maafa

Last Update: 2020-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,799,594,640 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK