Results for fairseeming translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

fairseeming

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the evil of their deeds is made fairseeming unto them.

Swahili

kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha mwenyezi mungu. wamepambiwa ubaya wa vitendo vyao hivi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in this wise is made fairseeming unto the extravagant that which they have been working.

Swahili

ndio namna hiyo wamepambiwa warukao mipaka yale waliyo kuwa wakiyatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and assuredly we have set constellations in the heaven and made it fairseeming unto the beholders

Swahili

na hakika tumeweka katika mbingu vituo vya sayari, na tumezipamba kwa wenye kuangalia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what! is he whose evil deed is made fairseeming to him so much so that he considers it good?

Swahili

je! yule aliye pambiwa a'mali zake mbaya na akaziona ni njema - basi hakika mwenyezi mungu humwacha akapotea amtakaye, na humwongoa amtakaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by allah, we verily sent messengers unto the nations before thee, but the devil made their deeds fairseeming unto them.

Swahili

wallahi! sisi tulituma mitume kwa umati zilizo kuwa kabla yako, lakini shetani aliwapambia vitendo vyao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we assigned them comrades (in the world), who made their present and their past fairseeming unto them.

Swahili

na tukawawekea marafiki, na wakawapambia yaliyo mbele yao na nyuma yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo! as for those who believe not in the hereafter, we have made their works fairseeming unto them so that they are all astray.

Swahili

kwa hakika wale wasio iamini akhera tumewapambia vitendo vyao, kwa hivyo wanatangatanga ovyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what! is he who has a clear argument from his lord like him to whom the evil of his work is made fairseeming: and they follow their low desires.

Swahili

je! mwenye kuwa na bayana kutoka kwa mola wake mlezi ni kama aliye pambiwa uovu wa vitendo vyake, na wakafuata pumbao lao?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he said: my lord! because thou hast led me to err i will surely make things fairseeming unto them on the earth and will surely seduce them all:

Swahili

akasema: mola wangu mlezi! ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i have found her and her people adoring the sun instead of allah, and the satan hath made their works fairseeming unto them, and hath barred them from the way, so they are not guided.

Swahili

nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya mwenyezi mungu; na shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia njia. kwa hivyo hawakuongoka,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we have assigned unto them some companions who made fairseeming unto them that which was before them and that which was behind them justified upon them was the word pronounced on the communities of the jinn and mankind who passed away before them; verily they were the losers.

Swahili

na tukawawekea marafiki, na wakawapambia yaliyo mbele yao na nyuma yao. basi ikawathibitikia kauli wawe pamoja na mataifa yaliyo pita kabla yao, miongoni mwa majini na watu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thus the evil of his deed was made fairseeming to firon, and he was turned away from the way; and the struggle of firon was not (to end) in aught but destruction.

Swahili

na hivi ndivyo firauni alivyo pambiwa ubaya wa vitendo vyake, na akazuiliwa njia. na vitimbi vya firauni havikuwa ila katika kuangamia tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nay! to those who disbelieve, their plotting is made fairseeming, and they have been hindered from the right path, and whom allah sends astray, for him, there is no guide.

Swahili

bali walio kufuru wamepambiwa vitimbi vyao na wamezuiliwa njia. na ambaye mwenyezi mungu amemwacha apotee basi hana wa kumwongoa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by allah! assuredly we have sent apostles to communities before thee, then the satan made their works fairseeming unto them, so he is their patron to-day, and unto them shall be a torment afflictive.

Swahili

sisi tulituma mitume kwa umati zilizo kuwa kabla yako, lakini shetani aliwapambia vitendo vyao. kwa hivyo leo yeye ndiye rafiki yao; nao watapata adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,763,052,942 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK