Results for learn to read translation from English to Swahili

English

Translate

learn to read

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

learn to read

Swahili

toleo

Last Update: 2017-10-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

learn to speak kiengereza

Swahili

kujifunza kiengereza cha kuongea

Last Update: 2016-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i love to read

Swahili

to study

Last Update: 2023-03-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

learn to leave in hard times

Swahili

jifunze kuishi nyakati ngumu

Last Update: 2021-03-20
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

we're going to read

Swahili

tutasoma

Last Update: 2024-01-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

learn to read and write. her childhood was one of poverty and deprivation.

Swahili

kujifunza kusoma na kuandika. utoto wake ulikuwa moja ya umaskini na kunyimwa.

Last Update: 2022-06-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

finally something interesting to read.

Swahili

hatimaye nimepata kitu cha kuvutia kusoma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this why i've been so happy to read this.

Swahili

ndio maana nimekuwa na furaha sana baada ya kusoma habari hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i want to let know that you have to read carefully and answer

Swahili

nakutakia mafanikio

Last Update: 2023-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we are a country divided in equal parts and we must learn to look to the other side.

Swahili

sisi ni nchi iliyogawanywa katika sehemu zilizo sawa na ni lazima tujifunze kutazama upande wa pili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

so how does one with such a background learn to harness the internet to her advantage as a growing kenyan based artist?

Swahili

je ni namna gani mtu mwenye historia kama hiyo anaweza kujifunza kuutumia mtandano wa intaneti kwa faida yake kama msanii wa kenya anayechipukia?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

several speakers insisted that kenya must overcome its differences and learn to live together despite differences in culture, ethnicity and religion.

Swahili

wasemaji kadhaa walisisitiza kwamba kenya lazima ishinde tofauti zilizopo na ijifunze kuishi pamoja bila kujali tofauti za utamaduni, makabila na dini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we send our newsletters every day to many people who want to read rz and have no direct access.

Swahili

tunatuma kijarida chetu kila siku kwa watu wengi ambao wanataka kuzoma rz ambao hawana namna ya kusoma tovuti yetu moja kwa moja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"some of the ministers apparently decided they were too old to learn to use a computer, and so they showed no enthusiasm."

Swahili

"baadhi ya mawaziri waliamua kuwa walikuwa wazee sana kuanza kujifunza kutumia kompyuta, na hawakuonyesha hamu yoyote." katika visa vingine hata wasaidizi wenye umri mdogo hawakuwa wanafamu jinsi ya kujiandikisha, “kwa hiyo kifaa kiko pale... kinakufa," anasema bw.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but your lord does not destroy habitations without having sent an apostle to their metropolis to read out our commandments to them.

Swahili

na mola wako mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke mtume katika miji yake mikuu awasomee ishara zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and for what it's worth, here is my own list of french books to read this summer:

Swahili

na kwa kile kinachostahili, hapa unaweza kuona orodha yangu ya vitabu vya kifaransa ninavyotarajia kuvisoma kiangazi hiki:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

do they not travel through the land, so that their hearts (and minds) may thus learn wisdom and their ears may thus learn to hear?

Swahili

je! hawatembei katika ardhi ili wapate kuwa na nyoyo zao za kuzingatia, au masikio ya kusikilia?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

every ghanaian is being urged to read, be informed and share this information with family, friends and people in their communities.

Swahili

kila raia wa ghana anahimizwa kukisoma, kuhabarishwa na kusambaza taarifa hizi kwa ndugu, jamaa na marafiki katika jumuiya zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

click here to read about how rising voices has brought more diverse voices into national and global conversations, and what that has meant for the individuals and communities involved.

Swahili

bonyeza hapa ili kusoma juu ya jinsi ambavyo sauti zinazokua ilivyozileta sauti zenye utofauti katika mazungumzo ya kitaifa na ya kidunia, na maana ya jambo hilo kwa watu binafsi na kwa jamii husika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and this is how we learn to see “ourselves” and “others”, and this is the lens through which we have studied history and watch the news.

Swahili

na hivyo ndivyo tunavyojifunza kujiona kama "sisi" na "wengine", na tunajifunza historia na kutazama taarifa za habari kwa jicho hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,151,794,197 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK