Results for not of works lest any man should ... translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

not of works lest any man should boast

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and this i say, lest any man should beguile you with enticing words.

Swahili

basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and would not suffer that any man should carry any vessel through the temple.

Swahili

hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they departed thence, and passed through galilee; and he would not that any man should know it.

Swahili

yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya galilaya. yesu hakupenda watu wajue alipokuwa,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and jesus answering them began to say, take heed lest any man deceive you:

Swahili

yesu akaanza kuwaambia, "jihadharini msije mkadanganywa na mtu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

if any man should turn about on his heels, he will not harm god in any way; and god will recompense the thankful.

Swahili

na atakaye geuka akarudi nyuma huyo hatamdhuru kitu mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu atawalipa wanao mshukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

let us labour therefore to enter into that rest, lest any man fall after the same example of unbelief.

Swahili

basi, tujitahidi kupata pumziko hilo, ili asiwepo yeyote miongoni mwenu atakayeshindwa, kama walivyofanya wao kwa sababu ya ukosefu wao wa imani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and if any man should be in difficulties, let him have respite till things are easier; but that you should give freewill offerings is better for you, did you but know.

Swahili

na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for though i would desire to glory, i shall not be a fool; for i will say the truth: but now i forbear, lest any man should think of me above that which he seeth me to be, or that he heareth of me.

Swahili

kama ningetaka kujivuna singekuwa mpumbavu hata kidogo, maana ningekuwa nasema ukweli mtupu. lakini sitajivuna; sipendi mtu anifikirie zaidi ya vile anavyoona na kusikia kutoka kwangu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

looking diligently lest any man fail of the grace of god; lest any root of bitterness springing up trouble you, and thereby many be defiled;

Swahili

jitahidini sana mtu yeyote asije akapoteza neema ya mungu. muwe waangalifu ili mti mchungu usizuke kati yenu na kuwaua wengi kwa sumu yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

beware lest any man spoil you through philosophy and vain deceit, after the tradition of men, after the rudiments of the world, and not after christ.

Swahili

angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si kristo mwenyewe!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,345,753 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK