Results for patterns translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and we made them patterns that invite unto the fire, and on the day of resurrection they will not be helped.

Swahili

na tuliwafanya ni waongozi waitao kwenye moto. na siku ya kiyama hawatanusuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

wedding dresses in turkmenistan are highly diverse, coming in different colors and patterns, and at different prices.

Swahili

mavazi ya harusi nchini turkmenistan yanatofautiana sana, yakiwa na rangi na mitindo tofauti yenye bei tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if social media is changing communication patterns in the west, it sure has not fallen short of touching interesting places on the african continent.

Swahili

kama uanahabari wa kijamii unabadilisha mtindo ya mawasiliano katika nchi za magharibi, basi kwa hakika haujapungukiwa katika kufikia sehemu zinazovutia barani afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an analysis of air travel patterns was used to map and predict patterns of spread and was published in the journal of travel medicine in mid-january 2020.

Swahili

uchambuzi wa mitindo ya usafiri kwa ndege ilitumiwa kuweka kwenye ramani na kutabiri mitindo ya kuenea na ilichapishwa katika jarida la usafiri wa kimatibabu katikati ya januari 2020.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

b'covid-19 surveillance involves monitoring the spread of the coronavirus disease in order to establish the patterns of disease progression.

Swahili

uchunguzi wa b'covid-19 unajumuisha kufuatilia ugonjwa kuenea ili kuweka mifumo ya maendeleo ya ugonjwa huo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

vouchsafe us comfort of our wives and of our offspring, and make us patterns for (all) those who ward off (evil).

Swahili

tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

third, the transmission of sars-cov-2 also shows interesting patterns characteristic of both community-acquired hcovs and sars-cov.

Swahili

tatu, usambazaji wa sars-cov-2 pia unaonyesha ruwaza ya kuvutia ya hcov vinavyosambazwa kijumuiya na sars-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he who does not listen to the prince breaks the pattern

Swahili

asiye sikia la mkuu huvunjika guu mfano

Last Update: 2021-10-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,149,679,810 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK