Results for strait translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

strait

Swahili

mlango wa bahari

Last Update: 2013-09-26
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

English

against black-box cross-strait trade agreement.

Swahili

mkataba wa kupinga makubaliano ya kibishara yaitwayo black-box cross-strait.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and when they are flung into a strait place thereof, bound up, they shall call therein unto death.

Swahili

na watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa, wataomba wafe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

because strait is the gate, and narrow is the way, which leadeth unto life, and few there be that find it.

Swahili

lakini njia inayoongoza kwenye uzima ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

strive to enter in at the strait gate: for many, i say unto you, will seek to enter in, and shall not be able.

Swahili

yesu akawaambia, "jitahidini kuingia kwa kupitia mlango mwembamba; maana nawaambieni, wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

enter ye in at the strait gate: for wide is the gate, and broad is the way, that leadeth to destruction, and many there be which go in thereat:

Swahili

"ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and to the three who were left behind, until the earth became strait to them notwithstanding its spaciousness and their souls were also straitened to them; and they knew it for certain that there was no refuge from allah but in him; then he turned to them (mercifully) that they might turn (to him); surely allah is the oft-returning (to mercy), the merciful.

Swahili

na pia wale watatu walio achwa nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu wake, na nafsi zao zikabanika, na wakayakinika kuwa hapana pa kumkimbia mwenyezi mungu isipo kuwa kwake yeye. kisha akawaelekea kwa rehema yake ili nao waendelee kutubu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,761,087,993 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK