Results for escrito translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

escrito por mano de escribas

Swahili

zimo mikononi mwa malaika waandishi,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

escrito en colaboración con paula góes

Swahili

makala hii imeandikwa kwa ushirikiano na paula góes

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

me han echado un escrito respetable.

Swahili

hakika nimeletewa barua tukufu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡por una escritura, puesta por escrito

Swahili

na kitabu kilicho andikwa

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

alá ha escrito: «¡venceré, en verdad!

Swahili

mwenyezi mungu ameandika: hapana shaka mimi na mtume wangu tutashinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

váyase, escrito en 14 idiomas codificado en qr.

Swahili

neno ondoka limeandikwa katika lugha 14 za mafumbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

este post fue escrito en colaboración con jessica carrillo.

Swahili

posti hii imeandika kwa ushirikiano na jessica carrillo .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

como está escrito: a jacob amé, pero a esaú aborrecí

Swahili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "yakobo nilimpenda, lakini esau nilimchukia."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

con esto concuerdan las palabras de los profetas, como está escrito

Swahili

jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama maandiko matakatifu yasemavyo:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

india: el último periódico escrito a mano en el mundo

Swahili

india: gazeti pekee duniani linaloandikwa kwa mkono

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

dice que le hemos escrito cartas con amenazas de muerte).

Swahili

anasema eti tumeshamwandikia barua ‘za kumtisha’.)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en vuestra ley está escrito que el testimonio de dos hombres es verdadero

Swahili

imeandikwa katika sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

si contraéis una deuda por un plazo determinado, ponedlo por escrito.

Swahili

mnapo kopeshana deni kwa muda ulio wekwa, basi andikeni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el mensaje escrito por el abogado deng shulin fue eliminado de inmediato:

Swahili

ujumbe wa mwanasheria wa bejing deng shulin ulifutwa haraka sana baada tu ya kuonekana:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

para que, como está escrito: el que se gloría, gloríese en el señor

Swahili

basi, kama yasemavyo maandiko matakatifu: "mwenye kutaka kujivuna, basi, na ajivunie kazi ya bwana."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

aquí está mi página de autor con todas las historias que he escrito en fundza.

Swahili

hapa ni ukurasa wa mwandishi wenye hadithi zote nilizoandika kwenye mradi wa fundza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

entonces se acordaron sus discípulos que estaba escrito: el celo por tu casa me consumirá

Swahili

wanafunzi wake wakakumbuka kwamba maandiko yasema: "upendo wangu kwa nyumba yako waniua."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

el artículo original fue escrito por roman romanenko de vologodsk, el 4 de marzo de 2014.

Swahili

bandiko la awali liliandikwa na roman romanenko wa vologodsk, mnamo machi 4, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en la cabecera de su blog, zola ha escrito: ‘que resuene la libertad’.

Swahili

katika bango la blogu yake, zola aliandika ‘acha uhuru uvume’.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

de hecho, en su propio blog refutó el artículo “ofensivo” escrito por jasin.

Swahili

na kwa kweli, alipiinga makala “inayoshambulia vibaya” iliyoandikwa na jasin katika blogu yake mwenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,724,168 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK