Results for watumiaji translation from Swahili to Dutch

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Dutch

Info

Swahili

watumiaji

Dutch

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Dutch

Info

Swahili

watumiaji wa mtandao wanaweza kutuma maswali yao kwenye wavuti ya allafrica:

Dutch

internetgebruikers kunnen hun vragen ook sturen naar de allafrica website :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msizuie teknolijia mpya, na msiwaadhibu wagunduzi kwa vitendo vinavyofanywa na watumiaji wa teknolojia zao.

Dutch

blokkeer nieuwe technologieën niet en bestraf vernieuwers niet voor de acties van hun gebruikers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo huo, watumiaji wa mtandaoni walitoa maoni yao kuhusu matukio hayo kati ya nchi hizo mbili.

Dutch

intussen delen netizens hun eigen ideeën over het volgende hoofdstuk in het lange verhaal van de twee landen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna baadhi ya katuni zinazosambazwa na watumiaji wa mtandao wa nchini iran kuhusiana na uchafuzi huo wa hewa mjini tehran.

Dutch

er circuleren diverse cartoons onder iraanse internetburgers over de vervuiling in teheran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumiaji wa mtandao misri walitoa mitizamo na mawazo yao kuhusiana na kipimio hiki katika twita kama ifuatavyo:

Dutch

egyptische netizens geven op twitter hun mening over de morsimeter:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anas tawileh, mwanzilishi wa meedan, aliwasilisha mada kuhusu mradi wa watumiaji wa kutafsiri kiingereza-kiarabu.

Dutch

de laatste grote presentatie van de dag was opnieuw waarschijnlijk de meest fascinerende.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunawahamasisha wanablogu na watumiaji wa mitandao ya kijamii barani afrika kutuunga mkono -lakini kila mmoja anakaribishwa!

Dutch

we willen het bij iedereen onder de aandacht brengen. we willen vooral mede-bloggers en socialmediagebruikers in afrika vragen om mee te doen, maar ieder ander is ook welkom!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kifungo chake kimelinganisha na kifungo cha miaka 77 alichohukumiwa jangili wa faru mwezi julai, kilichowashangaza na kuwatia hasira watumiaji wengi wa mitandao ya twita.

Dutch

zijn veroordeling kwam in de nasleep van de veroordeling tot 77 jaar van een neushoornstroper in juli, wat veel twitter-gebruikers shockeerde en kwaad maakte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi za lugha zinakosa herufi za kompyuta zinazowasaidia watumiaji kuandika kwa lugha zao, na sehemu nyingine za dunia bado hazina mtandao wa intaneti, hali inayowafanya watengwe na mazungumzo ya mtandaoni.

Dutch

voor sommige talen is geen geschikt toetsenbord in omloop waardoor gebruikers niet in hun eigen taal kunnen schrijven. bovendien is de internetverbinding op veel plaatsen niet goed genoeg om mee te doen aan discussies op het internet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nembo ya uchaguzi wa 2014, kupitia ukurasa wa facebok wa tume huru ya uchaguzi kadri uchaguzi unavyokaribia nchini tunisia, watumiaji wa mtandao wanajadiliana ikiwa uchaguzi huo una hadhi ya wao kupiga kura katika uchaguzi ujao wa wabunge na rais.

Dutch

het logo van de verkiezingen van 2014, via de facebook-pagina van de onafhankelijke verkiezingscommissie nu de tunesische verkiezingen dichterbij komen, discussiëren netizens over de vraag of het de moeite waard is om te gaan stemmen bij de aanstaande parlements- en presidentsverkiezingen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadiri idadi ya watumiaji wa intaneti invyokua kwa haraka katika kusini mashariki ya asia kwenye miaka ya hivi karibuni, na ndivyo kuchujwa kwa kwa habari kunavyozidi, kuanzia uchina mpaka kampuchea, kana kwamba kunafuata mkondo wa mto mekong.

Dutch

terwijl het aantal internetgebruikers in zuidoost-azië de afgelopen jaren sterk is gestegen, heeft de online censuur zich snel verspreid, van china tot cambodja, alsof ze met de mekong-rivier meestroomt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alama za twita zinazotumiwa na watumiaji wa twita nchini japani ni #sendai na #jishin. #prayforjapan inatumiwa kutuma maombi kwa lugha ya kiingereza katika mtandao wa twita.

Dutch

japanse twitteraars gebruiken de hashtags #sendai en #jishin. engelstalige twitteraars gebruiken de hashtag #prayforjapan om aan te geven dat ze in gedachten bij japan zijn.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kuweza kuwafanya wahanga kupata hadhi ya ubinadamu, baadhi ya watumiaji wa mtandao wa twita wame-twiti alama habari ya #147notjustanumber yenye maana ya #147sitarakimutu ili kujaribu kuwataja marehemu kwa majina yao pamoja na picha:

Dutch

om de slachtoffers een gezicht te geven, gebruiken sommige twitter-gebruikers de hashtag #147notjustanumber om hun namen en foto's te delen:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,762,738,618 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK