Results for akiimba translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

video ya youtube hapa chini inamwonesha shakira akiimba waka waka, wimbo rasmi wa mashindano ya kombe la dunia 2010 wakati wa sherehe za ufunguzi:

English

the youtube video below shows shakira singing waka waka, the song for 2010 world cup during the opening ceremony:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati julius malema alipokuwa akiimba “piga risasi makaburu” kwenye maandamano ya vijana wa anc, wakulima walikuwa wanauwawa kwenye jimbo la limpopo.

English

while julius malema was singing "shoot the boers" at an anc youth league rally, farmers were being killed in the limpopo province.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwanamke ajuza akicheza nje ya kituo cha kupigia kura kwenye makumbusho ya garang (dr. john) akiimba “kwa heri waarabu” #sudanref

English

old woman dancing out of the polling station at garang memorial singing 'bye bye arab' #sudanref

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangazo hilo lililosababisha utata linamwonyesha robert mugabe akila peke yake wakati wa sikukuu ya noel katika jumba kubwa wakati huo huo akikumbukia “nyakati za raha” alizowahi kuwa nazo na madikteta wa zamani, kama vile kucheza mchezo wa kurushiana maji na muammar gaddafi kwa kutumia mpira, akitengeneza midoli ya malaika kwenye mchanga akiwa na saddam hussein, akiimba muziki wa karaoke akiwa na mao sedong, akimsukuma p.w botha kwenye bembea, na akiendesha pipa na idi amin.

English

the controversial advert shows robert mugabe dining alone at christmas in a large mansion while he reminisces about "happier times" with former dictators, such as playing water tag with muammar gaddafi, making snow angels in the sand with saddam hussein, singing karaoke with mao zedong, pushing p. w. botha on a swing set, and riding a tank with idi amin.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,914,141,587 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK