Results for chagua vitendo vya kufanya translation from Swahili to English

Swahili

Translate

chagua vitendo vya kufanya

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vitendo vya vitisho

English

acts of intimidation

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupinga vitendo vya ukatili wa kinjisia

English

victims of violent acts

Last Update: 2024-01-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mbinu chafu na vitendo vya kupakana matope

English

dirty tricks and mudslinging

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pakistani: vitendo vya unyanyasaji watoto vyaongezeka

English

pakistan: child abuse on the rise · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tulilaani vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu nchini venezuela

English

we denounced human rights violations in venezuela

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takwimu kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya wasichana wa mitaani

English

statistics on violence on street girls

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna ongezeko linalokera la vitendo vya unyanyasaji watoto nchini pakistani.

English

there is a disturbing rise in child abuse cases in pakistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu.

English

and whatever of misfortune befalls you, it is because of what your hands have earned. and he pardons much.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ripoti za wananchi zitasaidia kupatiana picha ya vitendo vya ufisadi mijini.

English

your reports will, perhaps for the first time, provide a snapshot of bribes occurring across your city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utalii wa ngono ni safari zinazohusisha vitendo vya gono, hususani na kahaba.

English

sex tourism is travel to engage in sexual activity, particularly with prostitutes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kilimo cha kukata na kuchoma kimesababisha zaidi upoteaji wa misitu kunakotokana na vitendo vya binadamu.

English

slash and burn agriculture has caused much of the anthropogenic deforestation of the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: nilitishiwa kufanyiwa vitendo vya ngono, mara nyingi tu katika siku hiyo.

English

@simsimt: i was threatened w/ sexual assault/abuse numerous times during that day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua hizo hazikupendwa kabisa; waandamanaji 10,000 walijitokeza jumapili ili kupinga vitendo vya tandja.

English

these moves were extremely unpopular; 10,000 protesters came out on sunday to dispute tandja's actions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, watagongana au ndiyo ilikuwa moja ya vitendo vya mchezo wa kisiasa ambao misri inautumia siku hizi?

English

will they clash or was it just one of the acts in the political play egypt is enacting nowadays?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufahamika kwa vitendo vya shirika la usalama wa taifa marekani, nsa vinaondoa uhalali wa marekani kujaribu kudai vinginevyo.

English

the nsa spying revelations unquestionably undercut the us government’s legitimacy in arguing to the contrary.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anadai kuondoa kipengele cha hukumu ya kifo na kile kilichopendekeza kuwafunga wanafamilia watakaoshindwa kutoa taarifa za vitendo vya kishoga kwenye mamlaka zinazohusika.

English

he claims to have dropped the death penalty and jailing of family members who fail to report homosexuals to the authorities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

faheem haider kupitia blogu ya bangladesh foreign policy anajadili kuhusu vitendo vya unyanyasaji watoto na watoto wanaotumikishwa katika nchi za pakistani na bangladeshi.

English

faheem haider at bangladesh foreign policy blog discusses about the abuse of children and child workers in pakistan and bangladesh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala yake kwenye blogu inayoitwa the daily beast wala haachi neno pasipo kulisema na hivyo kutengeneza taswira halisi ya vitendo vya unyanyasaji watoto:

English

in a blog post in the daily beast she doesn’t leave much to be said by painting a grim picture of child abuse:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali hii inafanya uwepo uwezekano wa kutokea vitendo vya kifisadi, upotevu na hata matumizi mabaya ya fedha na hivyo kuzorotesha uwezo wa taifa hilo kupambana na janga hilo.

English

this makes it possible for fraud, waste, and misappropriation of funds to occur therefore crippling the nation’s ability to quickly respond to the crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

magazeti mengi hivi sasa yanachunguza ni kwa namna gani vitendo vya hassan vitawaathiri waislamu wanaotumikia katika jeshi la marekani, na wakazi waislamu wanaoishi karibu na kambi ya fort hood.

English

a number of newspapers are now examining how major hasan's actions will affect muslims serving the in us army, and muslim residents around fort hood.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,878,902 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK