Results for hujulikana translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

hujulikana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

katika jiji hili watoto hao hujulikana kwa jina la pothoshishu.

English

these street children are known as pothoshishu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chanjo zingine zina athari tofauti, pia hujulikana kama athari zisizo maalum.

English

some vaccines have heterologous effects, also called non-specific effects.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini iran, wahouthi wa yemen kwa kawaida hujulikana kwa jina la ansar hezbollah".

English

the houthi's are often identified as "yemen's ansar hezbollah" inside iran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika kisiwa cha mindanao, kilichopo kaskazini mwa ufilipino, jamii ya watu wa huko hujulikana kwa jina la lumad.

English

in mindanao island, located in the southern part of the country, the collective term for ethnic groups is lumad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu walioko sehemu za vijijini nchini moroko (ambazo hujulikana kama bled) wanasimulia simulizi zao kuhusu eid ya mwaka huu.

English

bloggers in rural morocco (referred to locally as the bled) are sharing their stories about this year's eid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

elimu ya juu, ambayo pia hujulikana kama elimu ya ngazi ya juu, inamaanisha viwango vya elimu ambavyo si za lazima zinazofuata kukamilisha masomo ya sekondari au shule ya upili.

English

tertiary education, also known as higher education, refers to the non-compulsory educational levels that follow completion of secondary school or high school.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. mti hujulikana kwa matunda yake.

English

either make the tree good, and his fruit good; or else make the tree corrupt, and his fruit corrupt: for the tree is known by his fruit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

blogu ya milioni moja kwa uhuru wa habari nchini hangari, ambayo pia hujulikana kama milla, iliweka ujumbe huu kwa kutumia picha ya orbán aliyetiwa nguvuni mwaka 1998 na picha ya mmoja wa wanafunzi walitiwa nguvuni hivi sasa:

English

one million for the freedom of press in hungary, also known as milla, shared this meme using a photo of orbán being arrested in 1988 and the photo of one of the students arrested now:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa, mafuta yanayopatiwa ruzuku ambayo katika nchi hiyo hujulikana kama premium huuzwa kwa kiasi cha idr 4,500 (sawa na dola 0.50 au shilingi 800) kwa lita.

English

currently the subsidized petrol known locally as premium is sold at idr 4,500 (usd 0.50) per liter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bango la anonymous, likitoa wito kwa wanaharakati kushambulia mitandao yaa serikali ya tunisiakichuja habari cha tunisia, ambacho kwa kawaida hujulikana kama ammar, kinaeendelea kutishia kuziharibu na kuzifunga anuani za wanaharakati wa mtandaoni, katika nchi hiyo ambayo imekuwa ikishuhudia wimbi la maandamano tangu katikati ya mwezi desemba.

English

this post is part of our special coverage of tunisia revolution 2011. anonymous' poster calling activists to join the attack on tunisian government sites the tunisian censor, commonly known as ammar, continues to wreak havoc on activists' accounts, in a country that has been witnessing a wave of protests since the middle of december.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,138,221 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK