Results for hupoteza translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

hupoteza

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watoto wachanga 44,000 wa madagaska hupoteza maisha kila mwaka kwa kukosa matunzo.

English

44,000 malagasy children die every year for lack of care.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyakati za mchana waandishi wa habari wa ki-ethiopia waliokimbia kwao hupoteza wakati wao kwa kutafuna miraa na kubadilishana habari za matukio ya siku hiyo.

English

in the afternoon, ethiopian dissident journalists pass their exile by chewing miraa and discussing the day's news.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za shirika la watoto duniani, unicef watoto 44,000 walio chini ya umri wa miaka mitano hupoteza maisha kila mwaka nchini madagaska.

English

in madagascar, 44,000 children under the age of five die each year, according to the latest unicef figures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakimbizi wakutanishwa hivi sasa dunia imeunganishwa zaidi kuliko ilivyowahi kuwa kabla, lakini wakati maelfu ya wakimbizi wanazikimbia nchi zao zenye migogoro au majanga na hivyo kupoteza mawasiliano na ndugu na jamaa zao -ambao mara nyingi hupoteza mawasiliano hayo milele.

English

refugees unitedthe world is more connected than ever, but when refugees fleeing conflict or disaster lose touch with loved ones - it's sometimes forever.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“kila waziri mkuu akitembea mji huu, binti yangu hupoteza siku moja ya shule kwa sababu shule yao hufungwa kwa siku hiyo,” alisema saleem haider, mkazi wa quetta.

English

“whenever our prime minister visits this city, a school day of my daughters is wasted because their school is closed down for that day,” said saleem haider, a quetta resident.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,763,058,191 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK