Results for jedwali translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jedwali la pool

English

pool table

Last Update: 2025-03-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tazama jedwali lifuatalo: (tafadhali libofye ili kulikuza!)

English

the following is the graph: (please click to enlarge!)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni kulingana na uwekaji msimbo uliofafanuliwa katika jedwali la 4.

English

this is based on coding described in table 4.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ufafanuzi wa rcgp rsc wa ili unaonyeshwa kwenye jedwali la 2 la midianuwai.

English

the rcgp rsc definition for ili is shown in multimedia appendix 2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hivyo, watoa huduma wawili wakuu wa mfumo wa gp waliongeza majina yanayoonyeshwa kwenye jedwali la 4 kama misimbo ya ndani ya mfumo mpana.

English

therefore, the two main gp system suppliers added the five terms shown in table 4 as system-wide local codes.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni pamoja na maelezo kuhusu usimbaji wa maelezo ya kimatibabu (jedwali la 4) na historia yoyote ya usafiri hivi majuzi.

English

this includes information on coding of clinical descriptors (table 4) and any recent travel history.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jedwali hili kutoka benki ya maendeleo ya mataifa ya marekani, ambalo linatoka kwenye utafiti wa mwaka 2006, linadai kuwa wahaiti wanaoishi marekani walituma karibu ya dola bilioni 1.9 za kimarekani kiola mwaka kwenda nyumbani.

English

this chart from the inter-american development bank, based on a 2006 study, claims that haitians living in the united states sent nearly $1.9 billion home annually.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

data kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa hali sugu za afya na vigezo vingine vya hatari vinavyoweza kutambuliwa kwa ajili ya matokeo ya hali mbaya kutokana na maambukizi ya njia ya pumu (yaani., uvutaji sigara na ujauzito) zilipatikana kwa wagonjwa 7,162 (5.8%) (jedwali la 1).

English

data on presence or absence of underlying health conditions and other recognized risk factors for severe outcomes from respiratory infections (i.e., smoking and pregnancy) were available for 7,162 (5.8%) patients (table 1).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,892,876,996 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK