Results for katika trafiki ya sasa: time_in_t... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

katika trafiki ya sasa: time_in_traffic

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hatuwezi kudharau umuhimu wa marekani katika hali ya sasa ya irani.

English

we can not ignore the importance of usa for iran's current situation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maneno ya sasa ya utafutaji

English

kila jambo linawakati wake muhimu kupambanau

Last Update: 2022-03-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hiyo ndiyo hali ya sasa, tunachotaka ni mabadiliko.

English

that is the present situation but we look for a change.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama matumaini yetu katika kristo yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.

English

if in this life only we have hope in christ, we are of all men most miserable.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

haya ndio matokeo ya sasa (mpaka ilipofika saa 5 usiku):

English

here are the current results (as of 11pm):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mikel agirregabiria kwa kujifunza kutoka kwenye filamu dead poets society aliweza kubainisha mahitaji ya sasa ya elimu:

English

mikel agirregabiria gets inspiration from the movie dead poets society to point out the current needs of education:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hotuba zinazotoka moyoni kuhusu mambo ya halisi yanayoikabili dunia yetu ya sasa?

English

speeches from his heart about the realities of our current world?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

from the old pia anaandika juu ya kauli nyingine, hii ya sasa ni ya awb, na kudai kuwa mauaji yalikuwa ya kisiasa:

English

from the old also covers another statement, this time by the awb, claiming the murder was political:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tutaanza mchakato na idara zote ili tutathmini malengo ya sasa na tuweze kulenga kuunga mkono kile ambacho ni muhimu kwa misheni yetu.

English

we’ll begin a process with all departments to assess current objectives and shift our focus to supporting what’s essential for our mission.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, zinapaswa kukusanywa kwa utaratibu maalum ili kutumika pamoja na data ya sasa ya uchunguzi inayoangazia idadi ya visa vilivyoripotiwa na idadi ya vifo.

English

they should, however, be collected in a systematic fashion to complement current surveillance data that focus on the number of reported cases and the number of deaths.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

natamani nirudi maisha ya shule, kwakua naamini, kuna kitu niliacha, ambacho kwa maisha ya sasa kingenisaidia sana kufikia malengo yangu.

English

i wish i could go back to school life as i believe something i left behind for life now would help me achieve my goals.

Last Update: 2024-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,040,546,462 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK