Results for mabara translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mabara

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wafuatiliaji wake wanaishi kwenye mabara yote na wanatoka kwenye nchi mbambali.

English

her followers span continents and countries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

janga la sars lilisababisha visa 8,096 vilivyoripotiwa na vifo 774, na kuenea katika nchi nyingi na mabara mengi.

English

the sars epidemic resulted in 8,096 reported cases with 774 deaths, spreading across many countries and continents.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matarumbeta yenye kelele, yanayotawala viwanja vyote wakati wa kombe la mabara, yaliwasababishia watu wengi kufunga masikio yao.

English

the noisy trumpet, which dominates the sound waves around the stadiums during the confederations cup, has got a lot of people covering their ears.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huku michuano ya soka ya kombe la mabara ikiendelea, maandamano mengine zaidi yamesharatibiwa katika maeneo mbalimbali ya majiji kwa kufanyika siku zinazokuja.

English

as the confederations cup continues, more protests are already scheduled in several cities for the upcoming days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninahisi watu wengine hawana uwezo wa kuchuja hizi kelele zinazotoka kwa wapiga kelele walio kwenye majukwaa ya uwanjani wakati wa mechi za kombe la mabara.

English

i guess some people have no ability to filter out these quiet buzzing sounds from the ubiquitous noisemakers in the stands during the confederations cup matches.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mara ya kwanza nilijaribu kulipuliza vuvuzela wiki mbili zilozopita, mwanzoni mwa kombe la mabara ambalo lilifanyika afrika kusini kabla ya kombe la dunia la mwaka ujao.

English

i first tried to blow a vuvuzela two weeks ago, at the start of the confederations cup which has been held in south africa ahead of next year’s world cup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makala haya ni sehemu ya mpango wa mwezi wa tisa unaoratibiwa na pri, unaofuatilia safari za uzazi mpaka wakati wa kujifungua, katika tamaduni mbalimbali na mabara tofauti.

English

this story is part of pri's the ninth month series, a journey through pregnancy and childbirth, across cultures and continents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitihada hizi mbili, zilizotokea kwa tofauti kubwa ya miaka na katika mabara tofauti, ni ushahidi wa nguvu ya maandalizi ya kimkakati na upinzani wa kiraia usiotegemea matumizi ya vurugu.

English

these two struggles, years and continents apart, are a testimony of the power of strategic organizing and non-violent civil resistance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mjadala kuhusu kifaa maarufu kinachoitwa vuvuzela kinachopigwa na mashabiki wa mpira wa miguu afrika kusini umetawala katika blogu mbalimbali duniani tangu kuanza kwa kombe la mabara la mwaka huu nchini afrika kusini, lililohitimika wiki iliyopita.

English

discussions about the popular instrument called the vuvuzela blown by south african football fans have dominated the blogosphere since the beginning of confederations cup 2009 in south africa, which ended last week.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hilo lisipotokea, matukio ya vifo yataendelea kuongezeka na kuwaathiri zaidi watu wa kawaida," alisema erika guevara rosas, mkurugenzi wa shirika la amnesty international wa mabara ya amerika.

English

unless this happens, the death toll will continue to rise with ordinary people bearing the brunt,” said erika guevara rosas, americas director at amnesty international.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ile sauti kubwa kama ya kundi kubwa la nzige ambayo umekuwa ukiisikia katika kila mchezo kombe la mabara si, kwa hakika, mojawapo ya yale ‘mapigo’ yanayoelezwa katika biblia.

English

that giant swarm of insects you’ve been hearing at every confederations cup game is not, in fact, one of the biblical plagues migrating south.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuanzia sekunde za mwanzo za pambano la kwanza kabisa la kombe la mabara ambalo nililiangalia mwaka huu, new zealand dhidi ya hispania, nilifikiri, “ni kelele gani ile?” na haraka nikaichuja.

English

from the very first seconds of the very first confederations cup match that i watched this year, new zealand v spain, i thought, "what is that interesting sound?" and then promptly filtered it out.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,766,844,717 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK