Results for misuli ya imani translation from Swahili to English

Swahili

Translate

misuli ya imani

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

misuli ya imani

English

muscles of faith

Last Update: 2024-07-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kanuni ya imani

English

creed

Last Update: 2015-06-01
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mafanikio ni matokeo ya imani

English

faith is the pillar of success

Last Update: 2022-12-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana wazee wa kale walipata kibali cha mungu kwa sababu ya imani yao.

English

for by it the elders obtained a good report.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika walio amini na wakatenda mema, mola wao mlezi atawaongoa kwa sababu ya imani yao.

English

as for those who believe and do good deeds, their lord guides them in their faith.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za waumini ili wazidi imani juu ya imani yao.

English

he it is who bestowed inner peace on the hearts of the believers so that they may grow yet more firm in their faith.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu hiyo, tangu niliposikia juu ya imani yenu kwa bwana yesu na mapendo yenu kwa watu wa mungu,

English

wherefore i also, after i heard of your faith in the lord jesus, and love unto all the saints,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa upande wetu, lakini, sisi tunatumaini kwamba kwa nguvu ya roho tunakubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani.

English

for we through the spirit wait for the hope of righteousness by faith.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, hiyo sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

English

wherefore the law was our schoolmaster to bring us unto christ, that we might be justified by faith.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika kristo yesu.

English

for they that have used the office of a deacon well purchase to themselves a good degree, and great boldness in the faith which is in christ jesus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sidhani kama yeyote anastahili kuhubiri namna ya kufanikiwa kwa kigezo tu kuwa alishapata fursa ya kujigawia utajiri asiostahili kwa gharama ya imani ya umma kwake.

English

i don’t think anyone should preach success simply because they have had a privileged position of allocating themselves undue wealth at the expense of public trust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika walio amini na wakatenda mema, mola wao mlezi atawaongoa kwa sababu ya imani yao. itakuwa inapita mito kati yao katika mabustani yenye neema.

English

indeed those who accepted faith and did good deeds, their lord will guide them due to their faith; rivers will flow beneath them in the gardens of favours.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mungu huwakubali watu kuwa waadilifu kwa njia ya imani yao kwa yesu kristo; mungu hufanya hivyo kwa wote wanaoamini; hakuna ubaguzi wowote.

English

even the righteousness of god which is by faith of jesus christ unto all and upon all them that believe: for there is no difference:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama ukiwapa ndugu wote maagizo haya, utakuwa mtumishi mwema wa kristo yesu, ukijiendeleza kiroho kwa maneno ya imani na mafundisho ya kweli, ambayo wewe umeyafuata.

English

if thou put the brethren in remembrance of these things, thou shalt be a good minister of jesus christ, nourished up in the words of faith and of good doctrine, whereunto thou hast attained.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ndiyo maana tunawaombeeni daima. tunamwomba mungu wetu awawezeshe muyastahili maisha aliyowaitia myaishi. tunamwomba, kwa uwezo wake, atimize nia yenu ya kutenda mema na kukamilisha kazi yenu ya imani.

English

wherefore also we pray always for you, that our god would count you worthy of this calling, and fulfil all the good pleasure of his goodness, and the work of faith with power:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini, tunajua kwa hakika kwamba mtu hawezi kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa kuitii sheria, bali tu kwa kumwamini yesu kristo. na sisi pia tumemwamini yesu kristo ili tupate kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani yetu kwa kristo, na si kwa kuitii sheria.

English

knowing that a man is not justified by the works of the law, but by the faith of jesus christ, even we have believed in jesus christ, that we might be justified by the faith of christ, and not by the works of the law: for by the works of the law shall no flesh be justified.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maandiko matakatifu yalionyesha kabla kwamba mungu atawakubali watu wa mataifa kuwa waadilifu kwa njia ya imani. hivyo maandiko matakatifu yalitangulia kumtangazia abrahamu habari njema: "katika wewe mataifa yote yatabarikiwa."

English

and the scripture, foreseeing that god would justify the heathen through faith, preached before the gospel unto abraham, saying, in thee shall all nations be blessed.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

abrahamu alitahiriwa baadaye, na kutahiriwa huko kulikuwa alama iliyothibitisha kwamba mungu alimkubali kuwa mwadilifu kwa sababu ya imani yake aliyokuwa nayo kabla ya kutahiriwa. kwa hiyo, abrahamu amekuwa baba wa wale wote ambao, ingawa hawakutahiriwa, wamemwamini mungu, wakafanywa waadilifu.

English

and he received the sign of circumcision, a seal of the righteousness of the faith which he had yet being uncircumcised: that he might be the father of all them that believe, though they be not circumcised; that righteousness might be imputed unto them also:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anaye mkataa mwenyezi mungu baada ya kuamini kwake - isipo kuwa aliye lazimishwa na hali ya kuwa moyo wake umetua juu ya imani, lakini aliye kifungulia kifua chake kukataa - basi hao ghadhabu ya mwenyezi mungu ipo juu yao, na wao watapata adhabu kubwa.

English

any one who, after accepting faith in allah, utters unbelief,- except under compulsion, his heart remaining firm in faith - but such as open their breast to unbelief, on them is wrath from allah, and theirs will be a dreadful penalty.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu ya imani hizi zenye hatari, kipindi cha redio kilianzisha sehemu ya “imani zikipambanishwa na ukweli wa mambo”, ambapo (katika lugha ya mtaani ya kiliberia) tunazizungumzia imani hizo kwa mtindo wa kila wiki.

English

because of these potentially dangerous myths, the radio show’s team developed a ‘myths vs. reality’ segment, in which (in colloquial liberian language) we addressed several of those myths on a weekly basis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,894,477,094 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK