From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa binadamu mchungu in english
a spear doesn't seem to hurt if the pig is the victim, but if a human being is, it does.
Last Update: 2025-03-04
Usage Frequency: 2
Quality:
mtoto wa nguruwe kwa kiswahili
piglet in swahili
Last Update: 2022-03-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ni progiramu inayohusika na kinywa na meno kwa binadamu
it is a prognosis responsible for drinking and teeth for humans
Last Update: 2024-06-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, virusi hivi vinakua vipi kijenetiki kwa wakati wa kusambazwa kutoka kwa binadamu?
how is the virus genetically evolving during transmission among humans?
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hivyo si ajabu sana kwamba popo wana uwezo wa kusambaza hcov-229e moja kwa moja kwa binadamu.
it is therefore not too surprising that bats might transmit hcov-229e to humans directly.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mistari kadhaa ya ushahidi huunga mkono usambazaji wa virusi wa moja kwa moja kutoka kwa popo hadi kwa binadamu.
several lines of evidence support the transmission of virus from bats to humans directly.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yesu akajibu, "yasiyowezekana kwa binadamu, yanawezekana kwa mungu."
and he said, the things which are impossible with men are possible with god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
utafiti ulishindwa kupata ushahidi wa virusi kujirudufisha kwa nguruwe, bata, na kuku.
the study failed to find evidence of viral replication in pigs, ducks, and chickens.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa utafiti wa kujitolea kwa binadamu, wahudumu wa afya walioambukizwa hcov-229e walikuwa na homa kiasi ya kawaida.
according to a human volunteer study, healthy individuals infected with hcov-229e developed mild common cold.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pili, iwapo popo wana nafasi ya moja kwa moja zaidi katika usambazaji kwa binadamu, inapaswa kubainiwa jinsi binadamu hutangamana na popo.
second, if bats play a more direct role in human transmission, how humans get into contact with bats should be determined.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ji na wenzake, walipendekeza nyoka kuwa wabebaji virusi kutoka kwa popo hadi kwa binadamu jambo lililohusisha ujumuishaji tena unaofanana ndani ya protini ya s.
ji, et al., proposed snakes as a carrier of the virus from bats to humans which involved homologous recombination within the s protein.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mauzo ya wanyama wa pori na magonjwa yanayoweza kuenezwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu – hatari za afya zinazohusishwa na biashara ya wanyama wageni wa porini
wildlife smuggling and zoonoses – health risks associated with the trade in exotic wildlife
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika hotuba yake, alilaani ushoga, akiuita "tishio kuu la kuwepo kwa binadamu".
during his speech, he condemned homosexuality, calling it one of the "biggest threats to human existence".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
imekuwa ikifahamika kwamba sars-cov na mers-cov vina chimbuko kutoka kwa popo na vilisambazwa kwa binadamu kupitia paka ngawa na ngamia, mtawalia.
it has been known that both sars-cov and mers-cov originated from bats and were transmitted to humans via civet cats and camels, respectively.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa virusi hivi vitazoeleka vyema, uenezi wake kwa binadamu unaweza kuwa vigumu kudhibiti kupitia karantini au hatua zingine za kudhibiti maambukizi.
if it adapts well, its transmission in humans would be difficult to stop by quarantine or other infection control measures.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika, popo ndio chanzo cha moja kwa moja cha virusi vinavyosababisha ugonjwa kwa binadamu ikiwa ni pamoja na virusi vya kichaa cha mbwa, virusi vya ebola, virusi vya nipah na virusi vya hendra.
in fact, bats are the direct source of human pathogenic viruses including rabies virus, ebola virus, nipah virus and hendra virus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika, ni mabaki 6 ya asidi amino pekee ndiyo yalipatikana kuwa tofauti kutoka kwa virusi vilivyotengwa kutoka kwa binadamu na ngawa kwenye rbd na 4 kati yazo ziko katika sehemu ya kuunganisha vipokezi kwa ajili ya miingiliano na kipokezi cha ace2.
in fact, only 6 amino acid residues were observed to be different from human and civet viral isolates in the rbd and 4 of them locate in the receptor-binding motif for interaction with the ace2 receptor.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuna fursa nyingi ambapo virusi hivi vya cov vinavyosambazwa na wanyama hukua na kuungana tena, vikisababisha kuibuka kwa virusi vingine vya cov ambavyo vinasambazwa zaidi na/au ni hatari zaidi kwa binadamu katika siku zijazo.
there are plenty of opportunities that these zoonotic covs evolve and recombine, resulting in the emergence of new covs that are more transmissible and/or deadly in humans in future.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna ushahidi kuwa wanyama wanaweza kusambaza virusi hivi kwa binadamu, lakini mamlaka ya uingereza zinashauri kuosha mikono baada ya kugusa wanyama, kama baada ya kugusa sehemu watu walioambukizwa huenda waligusa.
there is no evidence animals can pass the virus on to humans, though british authorities advise washing one's hands after contact with animals, like after contact with other surfaces infected people could have touched.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, iwapo na jinsi virusi vya sars-cov-2 husambazwa kwa binadamu kupitia kakakuona na mamalia wengine inasalia kuwekwa wazi katika uchunguzi wa siku zijazo.
however, whether and how sars-cov-2 is transmitted to humans through pangolins and other mammals remain to be clarified in future investigations.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: