Google'a Sor

Şunu aradınız:: mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

İngilizce

a spear doesn't seem to hurt when a pig is the victim,but when a human is,it does

Son Güncelleme: 2013-07-17
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Yesu akajibu, "Yasiyowezekana kwa binadamu, yanawezekana kwa Mungu."

İngilizce

And he said, The things which are impossible with men are possible with God.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Wala mimi sikuipokea kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu. Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyenifunulia.

İngilizce

For I neither received it of man, neither was I taught it, but by the revelation of Jesus Christ.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Katika hotuba yake, alilaani ushoga, akiuita "tishio kuu la kuwepo kwa binadamu".

İngilizce

During his speech, he condemned homosexuality, calling it one of the "biggest threats to human existence".

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba Yohane alikuwa nabii."

İngilizce

But and if we say, Of men; all the people will stone us: for they be persuaded that John was a prophet.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Yesu akawatazama, akasema, "Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana."

İngilizce

But Jesus beheld them, and said unto them, With men this is impossible; but with God all things are possible.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Yesu akawatazama, akawaambia, "Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa Mungu si hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana."

İngilizce

And Jesus looking upon them saith, With men it is impossible, but not with God: for with God all things are possible.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

Katika kufanya hivyo, aliacha upenyo, kuwa kuna uwezekano wa kuwa watu fulani wanazaliwa mashoga (...) tabia zisizo za kawaida kwa binadamu na zinazotokea mara chache.

İngilizce

In doing so, he left a loophole, being that there was a possibility that certain people were ‘born homosexual (…) rare deviations in nature from the normal’.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya Ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu B, Ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.

İngilizce

Amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and HIV status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section B, Article 2 of that legal document.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Kwa hakika, chapisho la hivi karibuni linaeleza namna gani ugonjwa unaweza kuenea kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu: popo walao matunda wanaweza kubeba virusi hivyo bila wao kuonesha dalili za maradhi hayo, na wanaweza kuhama na kueneza virusi hivyo kwenda kwa wanyama wengine, kama vile nyani na pimbi.

İngilizce

Indeed, a recent publication explains how the disease could be spread from the animal kingdom to humans: fruit bats can carry the disease without displaying any signs of it, and are able to migrate and transfer it to other animals, such as monkeys and rodents.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

Ni kweli, wengi wa kundi hili, wanaweza kuutamani mnofu wa nguruwe ikitokea wameuona, na hata wanaweza kusimama na kuangalia uwezekano wa kupata japo mbavu tu baada ya kuona tangazo kwenye runinga, lakini kwa kawaida mahali salama zaidi kuishi kwa nguruwe ni kwenye nchi ya Kiislamu .

İngilizce

Sure, they may lustily eye a strip of bacon if they ever encounter one, maybe even pause to consider a side of ribs after seeing it on a television show, but on average the safest place for a pig is in a Muslim country.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
4,401,923,520 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam