Results for simsimt translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

@simsimt hajaachiwa bado!

English

#freeusamah @simsimt is not released yet!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: nilikataa katakata.

English

@simsimt: i fiercely refused.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: ninawashukuru sana wote walionitia moyo!

English

@simsimt: i'm so grateful for all who campaigned for me!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: ninaituhumu #niss kwa kila jambo baya nililotendewa.

English

@simsimt: i hold #niss accountable for everything i've endured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: nilitishiwa kufanyiwa vitendo vya ngono, mara nyingi tu katika siku hiyo.

English

@simsimt: i was threatened w/ sexual assault/abuse numerous times during that day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miongoni mwao alikuwa mtumiaji wa twita na mwanaharakati ambaye ni raia wa sudani usamah mohammed ali. (@simsimt).

English

among them is prominent sudanese twitter personality and activist usamah mohammed ali (@simsimt).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: hadi hapo walipoamua kuachana na mimi, niliamrishwa na ofisa aliyekuwa mbele yangu, kunyimwa usingizi. #sudanrevolts

English

@simsimt: when again, they finally gave up on me, i was ordered by an officer, in front of me, to be deprived from sleeping. #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: nilistahimili vipigo vikali kichwani kwangu kwa jiwe, kwa sababu simu yangu waliyokuwa wanaishikilia ilipigiwa simu kutoka marekani. #sudanrevolts

English

@simsimt: i endured severe beating up on my head w/ a rock, 'cause my phone while in their possession, received a call from the u.s. #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: katika jengo la #niss, nilistahimili karibu saa 4 au 5 za kutukanwa, kupigwa na vitisho vya kila aina ili tu nifungue simu yangu #sudanrevolts

English

@simsimt: at #niss building, i endured almost 4 or 5 hours of verbal abuse, severe beating up and all kind of threats to unlock my phone #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: bila kutoa undani sana wa mambo kwa sasa, nilikamatwa na jasusi aliyekuwa kwenye mavazi ya kiraia wa #niss ambaye alinifuata wakati nikiandika twiti. #sudanrevolts

English

@simsimt: without further detail for now, i was arrested by an #niss agent in plainclothes who approached me while i was tweeting. #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,166,972,190 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK