From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
uwakilishi mahakamani kupitia mawakili wa shirika
uwakilishi mahakamani kupitia mawakili wa ahirika
Last Update: 2021-01-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
suala hapa linahusiana na kukosekana kwa uwakilishi wa walio wengi.
it is related to an absence of public representation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chama chenye mrengo wa kiislam ennahdha kilishinda kwa asilimia 41 ya kura zilizopigwa, na kujinyakulia viti 89 kati ya viti 217 vya bunge la uwakilishi.
the islamist party ennahdha won 41 per cent of the votes, and gained 89 out of 217 seats at the constituent assembly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kuhofia msukumo wa watu, ofisi ya rais ilitangaza siku hiyo hiyo kuwa serikali isingeruhusu kuanzishwa kwa ofisi ya uwakilishi ya dharura oic nchini myanmar.
bowing to public pressure, the president's office announced on the same day that the government would not permit the setting up of an oic liaison office in myanmar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati huohuo, oic wanasema kuwa bado hawajapokea taarifa rasmi kutoka serikali ya myanmar kufuatia maamuzi yaliyofikiwa ya kutoruhusu kuwepo kwa ofisi ya uwakilishi ya oic.
meanwhile, the oic said they have yet to receive a formal notification from myanmar government regarding a decision to disallow a liaison office.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iwe ni ofisi ya uwakilishi ya dharura au ni tawi la ofisi ya kudumu, tunachokiomba kwa sasa ni kuwa ni kuiweka wazi nakala ya hati ya makubaliano, hilo ndilo haswa tunalolihitaji.
be it a temporary liaison office or permanent branch office, what we are asking for now is to show a copy of that mou to public, that's what we want mainly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walipoanza kutuma maoni yao wakipinga makubaliano hayo, hmuu zaw kutoka ofisi ya rais alifafanua kuwa, ofisi ya oic itakuwa ni ya dharura tu itakayofanya kazi kama ofisi ya uwakilishi ya dharura na si kama ofisi ya kudumu ya uwakilishi.
when people started posting comments opposing the agreement, hmuu zaw from the president's office clarified that the oic office would only be a temporary liaison office rather than an official representative office.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iran inasema kwamba imepanga mazungumzo kuhusu mpango wa amani wa kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe vya nchini syria, hata hivyo hakuna uwakilishi kutoka upande wa waasi utakaokuwepo kwenye mazungumzo hayo kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya tehran na utawala wa bashar assad, rais wa syria.
iran says it has planned talks on a peace plan to end syria's civil war, but no rebel factions will attend because of tehran's close bonds with bashar assad's regime.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maren soendergaard kwenye tovuti ya colombia reports anaandika kuhusu kutengwa kisiasa kwa raia wenye asili ya afrika nchini humo, akisema kwamba "kukosekana kwa uwakilishi wa kisiasa katika mfumo wa kisiasa wa columbia ni moja ya malengo ya mapambano ya kijamii, ksiasa na kiuchumi yanayoendelea miongoni mwa jamii ya raia wa nchi hiyo wenye asili ya afrika."
maren soendergaard in colombia reports writes about political exclusion of afro-descendants in colombia, stating that "a historic lack of political representation in colombia’s political system is one of the key focuses in the ongoing social, political and economic struggle of the afro-colombian community."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting