Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tamko la asili lilikuwa kuandamana ili kuvunja vikwazo vinavyoizingira gaza kwa mujibu wa kanuni za amani zilizojikita katika sheria za kimataifa.
the original statement of the coalition was to march to break the siege in accordance with the principle of non-violence and anchored in international law.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika miezi ya karibuni, watu wa gaza wanaamini kuwa jumuiya ya kimataifa imeanza kuelekeza macho yake sehemu nyingine, na kutotilia maanani vikwazo vinavyoizingira gaza.
in recent months, people in gaza believe the international community began to direct its attention elsewhere, neglecting the siege of gaza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maandalizi ya maandamano hayo hata hivyo, hayajatukia bila vikwazo, na waandalizi muungano wa kimataifa wa kukomesha vikwazo haramu vinavyoizingira gaza, hawako mbali na kukosolewa.
the organisation of the march has not, however, been without its hurdles, and organisers the international coalition to end the illegal siege of gaza, have not been beyond criticism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
muungano wa kimataifa wa kukomesha vikwazo haramu vinavyoizingira gaza unaandaa kikundi cha kimataifa kitakachoandamana bega kwa bega na watu wa gaza, katika onyesho la amani la mshikamano ambalo lina matumaini ya kumaliza vikwazo huko gaza.
the international coalition to end the illegal siege of gaza is mobilising an international contingent to march alongside the people of gaza, in a non-violent show of solidarity and with the hope of ending the gaza blockade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: