From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanaruhusiwa kwenda nje mara moja baada ya kila siku mbili ili kupata bidhaa
only allowed to go outside once every two days to get supplies
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kulinganisha na kundi hilo lililopita, wayahudi wa nchi hiyo ni wale walio wenyeji kabisa wa hapo, hawa nao wanaruhusiwa kuishi imani yao kwa uhuru.
in contrast, the country's tiny jewish population is almost entirely native, and is also allowed free practice of their faith.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, wageni wanaruhusiwa kuishi imani yao kwa uhuru, na kuna makanisa kadhaa bado, yaliyo mengi ni yale yaliyojengwa enzi za ukoloni wa wafaransa.
still, foreign christians are allowed to practice freely, and a number of churches, mostly from the era of french colonization, remain.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika visiwa vya canary, kwa mujibu wa blogu ya prisiones y penas, ambayo huandika kuhusu habari zinazohusu jela na magereza, wanawake wanaruhusiwa kuishi na watoto wao hadi umri wa miaka mitatu ndani ya selo zao, lakini wakiwa pamoja na wafungwa wenzao, kitu ambacho sio mazingira mazuri sana kwako.
in the canary islands, according to the prisiones y penas blog, which writes about the issues surrounding jails and prisons, women are allowed to keep their children of up to 3 years of age with them in their cells, but in the company of other inmates, which isn't the best environment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: