Results for kufunguliwa translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

kufunguliwa

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

watakamatwa lini na kufunguliwa mashitaka?

French

quand seront-ils arrêtés et jugés ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka 2013, alikamatwa na kuwekwa ndani kwa siku 115 bila kufunguliwa mashitaka.

French

en 2013, il a été arrêté et détenu pendant 115 jours sans procès.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aidha, yeye ni mke wa mfungwa ambaye amekuwa kizuizini kwa miaka nane bila ya kufunguliwa mashtaka.

French

de plus, son mari est détenu sans jugement depuis huit ans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuongezea, katika visa vingine, kufunguliwa kwa shule baada ya muda wa kufungwa imesababisha kuongezeka kwa viwango vya maambukizi.

French

en outre, dans certains cas, la réouverture des écoles après une période de fermeture a entraîné une augmentation des taux d’infection.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maeneo ambapo bado shule zimesalia kufunguliwa ni pamoja na taiwan, singapore, australia, uswidi na baadhi ya majimbo nchini marekani.

French

les régions où les écoles restent ouvertes comprennent taïwan, singapour, l’australie, la suède et certains États des États-unis.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na, wanawake walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa wamefufuliwa. baadhi yao walikataa kufunguliwa, wakateswa mpaka kufa ili wapate kufufuliwa na kuingia katika maisha bora zaidi.

French

des femmes recouvrèrent leurs morts par la résurrection; d`autres furent livrés aux tourments, et n`acceptèrent point de délivrance, afin d`obtenir une meilleure résurrection;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gavana wa jimbo la marylanda alitoa kibali kwamba huduma mahususi za kutunza watoto zisalie kufunguliwa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi wa dharura huku jimbo la washington na california yaliwa yameacha uamuzi huo kufanywa na watoa huduma wa kutunza watoto.

French

le gouverneur du maryland a ordonné que des services de garde d’enfants spécifiques restent ouverts pour les enfants du personnel des services d’urgence, tandis que l’État de washington et la californie ont laissé cette décision à la discrétion des prestataires de soins.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali hii inabadili mwelekeo uliokuwepo tangu januari 25, 2014, majuma kadhaa kabla ya kufunguliwa rasmi kwa mashindano hayo, ambapo wa-rusi wali-twiti zaidi kuhusu kiev kuliko sochi, mahali yanakofanyikia mashindano ya olimpiki.

French

ce qui nous ramène à la situation du 25 janvier, une semaine avant l'ouverture des jo, quand la twittosphère russe parlait davantage de kiev que de sotchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,780,737,750 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK